Huyu akiachwa basi, laana itamwandama msimamizi mkuu! Huyu kafanya mengi, tunaanzia kwa Clouds.
Huyu akiachwa basi, laana itamwandama msimamizi mkuu! Huyu kafanya mengi, tunaanzia kwa Clouds.
Maridhiano tunayataka sana lakini ni vema kwanza sheria ichukue mkondo wake kwa wahalifu wote!Inabidi iundwe Tume ya Maridhiano kama walivyofanya South Africa baada ya Utawala wa Kibaguzi kukomeshwa 1994, Tume ilikuwa chini ya Desmund Tutu, tusitumie utaratibu wa Kagame wa kuwapeleka Magakamani wale Wahalifu kwny Mahakama za Gachwachwa.
'Zamani Tajiri alikuwa anaweza kufanya lolote lakin Sasa hivi anaweza 'Kufanywa' lolote'- Kauli ngumu sana hii maana hata Madikteta kina Kagema hawana huu ujasiri wa kutamka haya hadharani.
Kwa Niaba ya Wastaafu wa UV CCM Taifa tunawaomba radhi waliopata madhila ya kudhulumiwa Mali na nafsi zao na za Wapendwa wao
Na wafungwa na mahabusu wanaoozea jela waliobambikwa kesi kwa sababu za kisiasa unawaweka kundi gani?Tume ya maridhiano kwa lengo la kuombana radhi na msamaha yaishe, Mahakamani yataibuka mengi na mengi na pengine wapo wataochomekewa kesi na Maadui zao wa Kisiasa na kuumizwa kwa kusingiziwa au wapo watakaokuja kuachiwa huru wakati ni wahalifu kweli hivyo kuleta chuki maradufu
Na wafungwa na mahabusu wanaoozea jela waliobambikwa kesi kwa sababu za kisiasa unawaweka kundi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi iundwe Tume ya Maridhiano kama walivyofanya South Africa baada ya Utawala wa Kibaguzi kukomeshwa 1994, Tume ilikuwa chini ya Desmund Tutu, tusitumie utaratibu wa Kagame wa kuwapeleka Magakamani wale Wahalifu kwny Mahakama za Gachwachwa.
'Zamani Tajiri alikuwa anaweza kufanya lolote lakin Sasa hivi anaweza 'Kufanywa' lolote'- Kauli ngumu sana hii maana hata Madikteta kina Kagema hawana huu ujasiri wa kutamka haya hadharan
Kwa Niaba ya Wastaafu wa UV CCM Taifa tunawaomba radhi waliopata madhila ya kudhulumiwa Mali na nafsi zao na za Wapendwa wao
Samahani mkuu, unamaanisha kama hivi??Ukimtaja makonda JF wanafuta uzi
Wewe si ulikuwa ukikesha hapa JF kumwimbia mapambio Mwendazake? Kwani kuna habari gani?Pengine miaka minne ingemalizika tungekuwa na zahma kubwa zaid, kazi ya Mungu haina makosa
Haha hatr mzee!Huyu nae alikufanyaje mkuuMkiwamaliza wakuu wa mikoa na wilaya tuamie kwa makatibu wakuu mie nitaanza na katibu mkuu Engineer Nyamhanga aliyekuwa TAMISEMI.
Umepumbazwa ukapumbazika,kukutoa hapo haiwezekani ,wewe ni hivyo hivyo mpaka kufaBavicha wanashangaza,,
eti wanasubiri kuona Mama akinyonga "wanae" baada ya Baba wa "watoto" kufariki dunia,,
uliona wapi ikitokea hivyo katika "familia" za kiafrika,,!!?
Sina uhakika kama huu msamaha ulioumba umetoka moyoniInabidi iundwe Tume ya Maridhiano kama walivyofanya South Africa baada ya Utawala wa Kibaguzi kukomeshwa 1994, Tume ilikuwa chini ya Desmund Tutu, tusitumie utaratibu wa Kagame wa kuwapeleka Magakamani wale Wahalifu kwny Mahakama za Gachwachwa.
'Zamani Tajiri alikuwa anaweza kufanya lolote lakin Sasa hivi anaweza 'Kufanywa' lolote'- Kauli ngumu sana hii maana hata Madikteta kina Kagema hawana huu ujasiri wa kutamka haya hadharan
Kwa Niaba ya Wastaafu wa UV CCM Taifa tunawaomba radhi waliopata madhila ya kudhulumiwa Mali na nafsi zao na za Wapendwa wao
Kipindi hiki kingekuwa kigumu sana kwa watanzania maana pote alikuwa amemaliza Sauti kinzani.Pengine miaka minne ingemalizika tungekuwa na zahma kubwa zaid, kazi ya Mungu haina makosa
Ishukuriwe coronaPengine miaka minne ingemalizika tungekuwa na zahma kubwa zaid, kazi ya Mungu haina makosa
We kama ukushiriki hofu ya nini.Tume ya maridhiano kwa lengo la kuombana radhi na msamaha yaishe, Mahakamani yataibuka mengi na mengi na pengine wapo wataochomekewa kesi na Maadui zao wa Kisiasa na kuumizwa kwa kusingiziwa au wapo watakaokuja kuachiwa huru wakati ni wahalifu kweli hivyo kuleta chuki maradufu
Kuna habari ganiNasikia Makonda.