Askofu Bagonza: Tuliyajua, Hatukuyajua lakini hilo zaidi ya tatizo

Ni baba ake na Lengai lile jambazi
Ni miaka 20 sasa imepita tangu uamuzi wa kuchoma kaya 135 uliotolewa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Serengeti Thomas Ole Sabaya , kuchomwa moto kwa kaya hizo kulitokea siku nne baada ya amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kuwataka kuondoka eneo hilo kwa madai kuwa wananchi hao wanaishi katika eneo la Pori ala akiba la Ikorongo....
 
Sio baba yake mzazi wa huyu wa sasa kweli?
 
Ni miaka 20 sasa imepita tangu uamuzi wa kuchoma kaya 135 uliotolewa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Serengeti Thomas Ole Sabaya , kuchomwa moto kwa kaya hizo kulitokea siku nne baada ya amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kuwataka kuondoka eneo hilo kwa madai kuwa wananchi hao wanaishi katika eneo la Pori ala akiba la Ikorongo...
Wahenga walisema "jina huumba", "Ole wao ole wao" wale wenye majina hatarishi.

Ole wako wewe usiyetambua jambo hili!!.------Shida ni "OLE" na sio kitu kingine. 😜
 
Napenda kujua mteule wake alimchukulia hatua gani huyo kiongozi?
 
TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO.

Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake...
Waliokusikia baba askofu wamesikia, na wasiokusikia haimaanishi kuwa hukusema na hawana udhuru kwa kutosikia.
Lakini je waliokusikia watayatendea kazi?

Kama wasipoyatendea kazi na yapo kwenye uwezo wao kwa sababu ya nafasi yao katika taifa, basi dhambi yao inakaa nayo ni kubwa zaidi ya wale waliyotenda wakiwa chini yao kiwadhifa na kimamlaka.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Waliokusikia baba askofu wamesikia, na wasiokusikia haimaanishi kuwa hukusema na hawana udhuru kwa kutosikia.
Lakini je waliokusikia watayatendea kazi?...
Nilikipenda tu bandiko looh kweli mwenye elimu na hekima hata usipomuona kwa macho utajua tu kuwa huyu kiumbe si wa nchi hii
 
Pole mjane,bdo mpo wengi sana
Kwa hiyo serikali iliyopo Samia mmempigia kura ,mpaka awatoe maafisa wa serikali waliochaguliwa na serikali iliyoshinda uchaguz?Kwa hiyo Bagonza ulishiriki katika dhambi ya kumuua Magufuli,ili mpange serikali mnayoitaka?
 
Kwa hyo kutesa watu kwa kutumia vyombo vya dola ni utekelezaji wa ilani cyo?????
Wanachadema na kutaka wale waliowakalia kooni waondoke ,wamesahau kuwa serikali iliyopo ni ya CCM na wateule wake ni watekelezaji tu wa ilani ya CCM, vinginevyo wataangaliwa kama una ushahudu wa hao unaosema waliwaua.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom