Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,015
- 156,374
Kigamboni
Baadhi ya vijiji vya jimbo la ismaniIRINGA:
gangilonga- ni kihehe meanz jiwe linaloongea, kuna jiwe kubwa sn mpk leo lipo , ukipaza sauti inatoa mwangwi so wahehe wakaiita gangilonga(jiwe linaloongea)
tosamaganga- meanz tupa mawe, kijiji kiko kilimani, enzi hizo wkt vita ya wajerumani na wahehe , walikuwa wanajificha kilimani then wanasema tosa mawe yaan tupa mawe ili yawapate wajerumani waliopo chini
Ongezea na bunjuu maana yake ni nini?Chekelei - Check the Railway
Chekereni - Check the Train
Kariakoo - Carrier Crops (?)
Kilimanjaro - Kilima Kyaro (?)
Lugalo - Alipopigwa Jerumani Emily Von Zelewisky na Jeshi la Mkwawa
Same - Mzungu kila akienda hapo alikuwa anaona kile kitu kiko vilevile (?)
Simba - Kuna mtu aliliwa na simba katika hiyo barabara pale Chuo Kikuu
Kuna mwenyeji mmoja wa Kigoma aliwahi kuniambia kuwa ktkt ziwa Tanganyika kuna samaki wawili mashuhuri sana ambao kwa kiha wanaitwa "Itanga" na "Nyika". Mmoja wao inasemekana ana umeme mkali.
K/hiyo, huenda neno "Tanganyika" limetokana na majina ya samaki hao.
Labda Mh. Zitto Kabwe anaweza kutueleza zaidi.
Kiboriloni - Kibo Road
Schule siyo neno la Kingereza.schule - shule wajerumani
Pamoja sana.market - marikiti zanzibar
Indeed!Interesting