Hongera sana bidada! Wengi wanaishia kumegwa humu na kuachwa kama sega la asali, hongera sana nakuombea iwe kweli!
..turudi katika meza ya maongezi...maana..si kirahisi rahisi hivyoo....my bebiiInatuhusu lakini si tulikua tunaachana..........?
Mkuu AshaDii KUMBE UKO HUKU sikujua, sehemu zingine huonekani!!!!!!!!Lady who hongera saana dear, kila la kheri katika ndoa yako na Mungu mwingi wa Neema na Baraka awabariki na kuwawekea wepesi toka sasa hadi wakati wa ndoa yenu. Pamoja saana.
Kabla sijaanza kutaja mtu jina, jitokezeni wenyewe mseme wengine mnasubiri nini... Mtu amejiunga JF tangu 2006, hadi leo bachelor!!!
charminglady wamaanishaje hapo kwenye nyekundu?
Pm ilifata baada ya kuweka bandiko kule love connect mwaka jana ndugu.
Whaaaaaaaaaaaaaaat! A REAL MARRIAGE IN JF??????????? I THOUGHT THIS DAY WILL NEVER COME WHILE IM STILL ALIVE IN JF!!!!!!!!!!!!I am speechless!!!!!!!!! GOD IS MIRACULOUS!!!!!!!!!Wishin you all the luck!!!!!!!!!
hongera mwaya!
ukawe na ndoa tamu na baraka zikafunike nyumba yenu tarajiwa!
kazana sana na maombi kipindi hiki!
kwi kwi kwi kwi.. Ngakumiss sana we mdada
Hongera sana bidada! Wengi wanaishia kumegwa humu na kuachwa kama sega la asali, hongera sana nakuombea iwe kweli!
mi too we mkaka!kwi kwi kwi kwi.. Ngakumiss sana we mdada
usisahau kuweka picha za harusi aisee...Kwa moyo wote, hongereni sana. At least Love Connect imefanya kazi yake. 'Mumeo' mtarajiwa ni nani hapa JF?