Mfikiri
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 586
- 125
Napenda kuishukuru JF kwa kuwa kiunganishi baina yangu na mume wangu mtarajiwa.
December nimevalishwa pete na taratibu zote za kimila zinafuata.
Ilikuwa kama utani but nimempata wangu wa maisha humu humu!
Karibuni, tuta-exchange wedding vows on July, Mungu akipenda.
Dah aiseee..hongera sana. KUMBE MAMBO IPO HUKU. jaman changamkeni hapa ni fasta fasta unavuta wako kibindoni ....
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7: