Asante JF, nimepokea toka kwako

Asante JF, nimepokea toka kwako

Whaaaaaaaaaaaaaaat! A REAL MARRIAGE IN JF??????????? I THOUGHT THIS DAY WILL NEVER COME WHILE IM STILL ALIVE IN JF!!!!!!!!!!!!I am speechless!!!!!!!!! GOD IS MIRACULOUS!!!!!!!!!Wishin you all the luck!!!!!!!!!


Ndo ivo...
Nakupa miez 2, uje na tangazo apa...
 
Kabla sijaanza kutaja mtu jina, jitokezeni wenyewe mseme wengine mnasubiri nini... Mtu amejiunga JF tangu 2006, hadi leo bachelor!!!
hebu wataje mkuu? halafu wewe nina kesi na wewe nilikuona umenitaja mahali
 
Ndo ivo...
Nakupa miez 2, uje na tangazo apa...

Aaaaaaaaah Wapi!!!!!!!! Labda tangazo la kupata Buzi la Uhakika!!!!!! Hahahaaaaaaaa!

IN LIFE WE ALWAYS FIND WHAT WE ARE LOOKING FOR!!!!! So it depends on what im looking in JF!
 
Aaaaaaaaah Wapi!!!!!!!! Labda tangazo la kupata Buzi la Uhakika!!!!!! Hahahaaaaaaaa!

IN LIFE WE ALWAYS FIND WHAT WE ARE LOOKING FOR!!!!! So it depends on what im looking in JF!
ahaaaaaa lile jipu vipi? sio la humu?
 
Aaaaaaaaah Wapi!!!!!!!! Labda tangazo la kupata Buzi la Uhakika!!!!!! Hahahaaaaaaaa!

IN LIFE WE ALWAYS FIND WHAT WE ARE LOOKING FOR!!!!! So it depends on what im looking in JF!

Define 'buzi la uhakika'... unaweza kupata ndani ya thread hii hii...
 
Define 'buzi la uhakika'... unaweza kupata ndani ya thread hii hii...

Aaaaaaaah Wapi! Mibuzi ya uhakika inajileta yenyewe! Haiihitaji kutafutwa kwa satelite!!!!!!!!!
 
Aaaaaaaah Wapi! Mibuzi ya uhakika inajileta yenyewe! Haiihitaji kutafutwa kwa satelite!!!!!!!!!

Umedefine bila kujua... Yaani mibuzi ya uhakika ni ile inayojileta yenyewe. Kibaya chajitembeza...
 
Hongereni sana, Mungu awafikishe salama salimini katika Kufunga ndoa yenu. usisahau Kufunga na kusali maana shetani sasa ataanza kazi yake, baada ya kujua mnataka kuungana na muwe mwili mmoja. naomba kadi ya kitchen Part Pleaseeeeee!!!!!
 
Umedefine bila kujua... Yaani mibuzi ya uhakika ni ile inayojileta yenyewe. Kibaya chajitembeza...

Acha kuchakachua thread ya mwenzio!!!!!!!! Toa hongera sepaaa sio kujifanya ndo mediator
 
hongera sana ila siku mkigombana usisahau kuja hapa wote wawili kwa kupata nasaha za wana jf.
 
Hongera sana,,,,,,,,,,,nami pia nimempata mtarajiwa humuhumu muda si mrefu nitaiweka wazi wanaJF mumfahamu, ila nawaogopa wale wazee wa Chit Chat wakiongozwa na Arushaone na Baba V wanaweza kunipora.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom