Asante JF, nimepokea toka kwako

Asante JF, nimepokea toka kwako

Afu kuna mdau alitangaza hapa kuwa kapata mchumba (mke) sijui kaishia wapi hajatualika kwenye ubwabwa.... Anajiita Akili Unazo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kipindi hiki?
Then what?Aaache...........
do i sound like nimesema kikiisha hiki aache enh?ahsante kwa kunistua mwaya!
i mean hiki kipindi ndo shetani ananyayka sana hapa!si anataka tuendelee kubaki wadhambi!basi madude kibao hujitokeza hapa!
Mwaya mtoa mada!pole kama ulinielewa ndivyo sivyo!
 
nitatoa hongera baada ya huyo mpenzie kukaa miaka zaidi ya 2 bila kuingia kwenye matatizo
 
13010.gif
 
Hongera sana, naamini wote mmeiva kisawasawa kuhusu swala zima la ndoa kwa sababu JF ni kisima cha fikra pevu.
Nawatakia maisha mema ya ndoa yenye furaha na amani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom