Asante JF, nimepokea toka kwako

Asante JF, nimepokea toka kwako

ladywho

Senior Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
107
Reaction score
49
Napenda kuishukuru JF kwa kuwa kiunganishi baina yangu na mume wangu mtarajiwa.

December nimevalishwa pete na taratibu zote za kimila zinafuata.

Ilikuwa kama utani but nimempata wangu wa maisha humu humu!

Karibuni, tuta-exchange wedding vows on July, Mungu akipenda.
 
Napenda kuishukuru jf kwa kuwa kiunganishi baina yangu na mume wangu mtarajiwa. December nimevalishwa pete na taratibu zote za kimila zinafuata. Ilikuwa kama utani but nimempata wangu wa maisha humu humu! Karibuni, tutaexchange wedding vows on July Mungu akipenda.

Kwa moyo wote, hongereni sana. At least Love Connect imefanya kazi yake. 'Mumeo' mtarajiwa ni nani hapa JF?
 
Hongera sana. Kila la kheri wapendwa!
 
Hongera! Humu humu na mimi ntajaribu!
 
hongera mwaya, mtunze akutunze
 
Napenda kuishukuru jf kwa kuwa kiunganishi baina yangu na mume wangu mtarajiwa. December nimevalishwa pete na taratibu zote za kimila zinafuata. Ilikuwa kama utani but nimempata wangu wa maisha humu humu! Karibuni, tutaexchange wedding vows on July Mungu akipenda.

angalia isipate kutu tu BTW kudos kwa hatua hiyo..
 
Lady who hongera saana dear, kila la kheri katika ndoa yako na Mungu mwingi wa Neema na Baraka awabariki na kuwawekea wepesi toka sasa hadi wakati wa ndoa yenu. Pamoja saana.
 
hongera mwaya!
ukawe na ndoa tamu na baraka zikafunike nyumba yenu tarajiwa!
kazana sana na maombi kipindi hiki!
 
Hongera sana, Ni maombi yetu mkafanikiwe safari mlioianzisha na mkawe ndoa ya mfano.
''God is so mysterious and so are His ways''
 
Hongera bibie, ila msifanye kabla hamjapima! na mpaka mfunge ndoa, au mmeshafanya?
 
Hongera sana bi dada..! Nawatakia kila la heri..!!
 
Whaaaaaaaaaaaaaaat! A REAL MARRIAGE IN JF??????????? I THOUGHT THIS DAY WILL NEVER COME WHILE IM STILL ALIVE IN JF!!!!!!!!!!!!I am speechless!!!!!!!!! GOD IS MIRACULOUS!!!!!!!!!Wishin you all the luck!!!!!!!!!
 
Kabla sijaanza kutaja mtu jina, jitokezeni wenyewe mseme wengine mnasubiri nini... Mtu amejiunga JF tangu 2006, hadi leo bachelor!!!
 
hongera mwaya
am speechless wanga wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom