Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
hongera sana mamie...
Kwa moyo wote, hongereni sana. At least Love Connect imefanya kazi yake. 'Mumeo' mtarajiwa ni nani hapa JF?
hivi Preta upo?? Happy new year mamito! Ni ukweli preta, wanamegwaaaaaamie wengine nina ushahidi kabisa, halafu matokeo yake wanaachwa wana miiba ka mkia wa nungunungu!
Sidhani kama iko sababu ya mie kumtaja, akitaka atajitaja mwenyewe
Hongera! Humu humu na mimi ntajaribu!
Hata mie wangu nimempata wangu humuhumu.
hongera sana ila siku mkigombana usisahau kuja hapa wote wawili kwa kupata nasaha za wana jf.
Hata mie wangu nimempata wangu humuhumu.
Hongera bibie, ila msifanye kabla hamjapima! na mpaka mfunge ndoa, au mmeshafanya?
Ritz nadhani.
charminglady wamaanishaje hapo kwenye nyekundu?
Ha ha....mzima wewe...?..Nimehama mji siku hizi kama nilivyokwambia......nipo Handajega
.. Preta..hii inatuhusu...Napenda kuishukuru JF kwa kuwa kiunganishi baina yangu na mume wangu mtarajiwa.
December nimevalishwa pete na taratibu zote za kimila zinafuata.
Ilikuwa kama utani but nimempata wangu wa maisha humu humu!
Karibuni, tuta-exchange wedding vows on July, Mungu akipenda.
Sidhani kama iko sababu ya mie kumtaja, akitaka atajitaja mwenyewe