Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,876
- 33,301
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.
Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,
Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,
ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Tunajivunia kutibu wageni kabla hatujawafikiria wetu, by the way huenda kukaibuka magonjwa maalumu