Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

Hii awamu watu walipiga sana pesa

Sasa ndio tunaona value for money
Sidhani kama umemuelewa uliye mnukuu..
Hivi hospitali ya mlonganzila unaweza fananisha na hiyo hospitali ya kata ya 2.5 B ? kweli? hivi kweli wewe unajua maana ya hospitali kweli?
 
Mama wa kambo anaiga utapeli wa Magufuli. Nakumbuka Magufuli akiwa ni miezi mitatu tu alikuwa anatembelea viwanda vya zamani vilivyopigwa rangi na kujifanya ni viwanda vipya vya wakati wake. Lengo ilikuwa ni Hadaa ya kuwa awamu yake ni ya Tanzania ya viwanda.
kama kaanza maigizo mapema hivi je atatoboa 2025? Haya maigizo ulikuwa huwezi kuyasikia awamu ya Jemedari Magufuli.
 
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.​

Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,

Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,

ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

Nice and congrats
 
Mnikumbushe mwendazake alifariki lini?
Ndio kusema hiyo ni kazi ya miezi 6? Acheni uongo Basi ndugu zangu.
 
Hiyo hospital haina hata madaktari mie naishi hapa container njiro umeandika vitu vingine vya uongo. Haiwezekani Ikawa hospital kubwa east Africa kwa kulinganisha hospital zote. Inazidiwa hata na Ile st Joseph iliyopo pale sakina. Sema Wana eneo kubwa wakipata msaada zaidi watakuwa vizuri zaidi

Acha uongo hospital haijaanza kufanya kazi bado, kwa hiyo madakatari wakae tu hapo bure, subiri ifunguliwe ndo uanze lawama, dah watanzania puuuh,!!!
 
..Kwanini watalii hawatibiwi KCMC Moshi wanakwenda kutibiwa Nairobi?

..bila shaka kuna tatizo lingine, na sio kukosekana kwa hospitali kubwa ya rufaa.
 
2.5bilion, milioni elfu mbili mani tano ijenge hospital ya kimataifa? Are you serious mkuu?

Jengeni hospitali zenye hadhi kama MNH branch ya mloganzila, ile ni hospital yenye majengo na hadhi ya kimataifa. JK did an awesome job kwa kweli.
 
Hiyo hospital haina hata madaktari mie naishi hapa container njiro umeandika vitu vingine vya uongo. Haiwezekani Ikawa hospital kubwa east Africa kwa kulinganisha hospital zote. Inazidiwa hata na Ile st Joseph iliyopo pale sakina. Sema Wana eneo kubwa wakipata msaada zaidi watakuwa vizuri zaidi
Huo ni mwanzo tu mkuu...huo ukubwa utauona tu.
 
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.​

Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,

Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,

ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

Bado haina quality ya kuitwa hospitali ya utalii. Ipo kama health center au dispensary tu. Muhimu ni kuwa na madaktari waliohitimu na technicians.
 
Ilianza kujengwa lini?
Baada ya samia kuwa raisi, maana ingekuwa imeanza kipindi cha jiwe na alivyokuwa anapenda sifa angeitumia hiyo hopspital kutunanga. hata wakati wa kampeini hakuiongelea ndio ujue haikuwepo
 
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.​

Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,

Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,

ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

Miradi ya Magufuli hiyo, msitudanganye.. Hospitali haziwezi kujengwa kwa miezi 7.

Anyway, Mwendazake alipofungua miradi ya JK alijidai ni yake..... What goes around comes around.
 
Longido kuna maji, loliondo kuna maji au barabara, simanyiro na maeneo yanayoizunguka je?
Ahhh.. ..Punguza chuki bwana mdogo.

Ukiamua kusifia sifia kwenye ukweli. Ukiamua kuongea kwenye changama moto fanya hivyo kama ulivyotaja hapa.

Ukiamua kusema kazikazini iliambiwa isubiri wakati Miradi hiyo inaziduliwa hadi treni ilienda hadi Arusha kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi unaonesha chuki za waziwazi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.​

Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,

Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,

ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Ata akili huna.myezi 6 hata jengo la madalasa 2 halija kamilika unasema ana zindua miladi yake ikiwemo HOspitali sema ana zindua miladi ya mwana ume washoka jpm
 
Back
Top Bottom