Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl​

Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,

Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari, Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795, Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji, Kujenga ICU 72, Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640, Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni

ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

Kali sana hii hospital aise
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl​

Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,

Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari, Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795, Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji, Kujenga ICU 72, Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640, Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni

ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

Wonderful
 
Kazi ni nzuri Tanzania, Tuendelee kuchapa kazi kulalamika sio sawa
 
Back
Top Bottom