Nimekwambia unajua kwa nini Nyerere alitoka madarakani? unadhani alipenda?
Jakutaka kuwasujudia mabeberu na mambo yalikua yashamwendea kombo hivo akaona kuliko kulamba matapishi bora apishe.
Hata huu mtifuano unaoendelea dhidi ya taifa letu ni kwa sababu tunajiamulia mambo yetu bila kuzingatia matakwa yao ndomaana wanapiga kelele sana.
Wakati wa kikwete mambo kwao yalikua mtelezo ndomaana licha ya kashfa za kifisadi walikaa kimya kwasababu walikua wanufaika, in short ukiona mzungu anang'ang'ana na nchi yako ujue maslah yake yamebanwa.