Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
CCM Imeharibu maisha, uhuru, umoja na haki ya mtanzania

Tumeparaganyika

Hatuheshimiwi tena kimataifa, ikumbukwe tulikuwa na heshima ulimwenguni kote.

Niabu na fedheha.
heshima ulokua unaipata kimataifa inagawiwa na mabeberu hasa pale wanapopata uwezekano wa kujitwalia kila watakacho katika nchi yako, kinyume na hapo ukishazindukana tayari ushakua adui yao hawawez kukupa heshima hiyo, sikulaumu sana maada media za mabeberu zimeharibu bongo zetu na kutuaminisha kila wasemacho ndo sahih zaidi kwetu.
 
Kuheshimiwa kimataifa huku tukiwa tunaibiwa gesi nk kulikuwa kunatusaidia Nini? Hatuotaki heshima ya hivyo

Hiyo gesi na madini mengine wakati yanaibiwa, walinzi walikuwa akina nani na nani alikuwa kiongozi wao? Walinzi wakilala lindoni adhabu yao ni nini ? ni kuwafukuza kazi au ? Labda kama wana sababu nyingine iliyosababisha kulala usingizi na kuruhusu gesi kuibiwa... vinginevyo redundancy inawahusu....
 
heshima ulokua unaipata kimataifa inagawiwa na mabeberu hasa pale wanapopata uwezekano wa kujitwalia kila watakacho katika nchi yako, kinyume na hapo ukishazindukana tayari ushakua adui yao hawawez kukupa heshima hiyo, sikulaumu sana maada media za mabeberu zimeharibu bongo zetu na kutuaminisha kila wasemacho ndo sahih zaidi kwetu.

Acha ujinga wewe, wakati wa Nyerere walijitwalia nini?
 
uliyoandika asilimia 99 hayana uhalisia kwa watanzania walio wengi yanawagusa walio wachache Tena wa mijini wa kipato Cha kati waliozoea kuishi kwa ma deal wawe CCM , Chadema au wafanyakazi serikalini na makampuni binafsi ya kifisadi
Kaa kimyaaa.
 
Elimu ya mkoloni imeharibu sana vichwa vyetu, yaani sisi waafrika ndo tumekua wasaidizi wa mabeberu katika kuzikashifu tawala zetu alafu tunataka tuonekane malaika.

Hakika katika hili tunajirudisha nyuma wenyewe tukidhani tunanyimwa haki na tawala zetu kumbe tunaimba mapambio ya wazungu yenye mlengo wa kutudidimiza daily

Mkuu tatizo tumekua na mtizamo wa kibeberu sana dhidi ya tawala zetu ndo maana tunafikia hatua hii, muafrika akitawala kinyume na mifumo ya mzungu atapigiwa kelele na kuonekana ni mkandamizaji wa kila kitu.

Jivi sisi hatuwezi tawala kinyume na mifumo ya mabeberu? Je hatuwezi kua na demokrasia inayoakisi uhalisia wetu? hebu tuacheni kuwaza kama wafu wakati wengi wetu hapa ndani ni wasomi.
 
Hawezi kujitenga tangu arudi kutoka ulaya amebadilika sana. Angalia picha yake na ulinganishe na Sir Elton John. Huyu Sir Elton John anamumewe anaitwa David Fursish.
 
Acha ujinga wewe, wakati wa Nyerere walijitwalia nini?
hawakujitwalia kitu bt unaujua mbinyo waliombana mpaka akaamua kuondoka madarakani? au unajiongelea tu bila kujua hata history ya taifa lao? siasa ni fikra, uchumi ni fikra, demokrasia ni fikra na haki za binadam ni fikra na mifumo yote hii imeundwa na mmarekani ajil ya kuwanyonya wasiojitambua, ndo maana unapotaka kuziondoka hizo fikra utafanyiwa propaganda za kila namna uonekane unaharibu.
 
Mimi naijuwa histori kuliko unavodhani ya darasani na mitaani

Na sidhani tukiweka matokeo ya paper utagusa yangu.

Jikite kwenye hoja tu.

Nyerere na akina kawawa, bibi Titi Mohamed na wengine wengi walikuwa kwenye mapambano sio tu ya ndani Bali kusini mwa afrika mpaka Morocco kwa wapolisalio na hata United nations wazungu walituheshimu na kutuogopa.

Heshima yetu ilikuwa yakutuka.
 
Embu acheni kukopa na kuchukua misaada msitufokee ,dunia nikijiji au kama vipi mipaka ifungwe na tutengeneze pesa zetu tuishi wenyewe si ndio yani mataga ni vic..h.aa kabisa
elimu ya mkoloni imeharibu sana vichwa vyetu, yaani sisi waafrika ndo tumekua wasaidizi wa mabeberu katika kuzikashifu tawala zetu alafu twataka tuonekane malaika, hakika katika hili tunajirudisha nyuma wenyewe tukidhani tunanyimwa haki na tawala zetu kumbe tunaimba mapambio ya wazungu yenye mlengo wa kutudidimiza daily

mkuu tatizo tumekua na mtizamo wa kibeberu sana dhidi ya tawala zetu ndo maana tunafikia hatua hii, muafrika akitawala kinyume na mifumo ya mzungu atapigiwa kelele na kuonekana ni mkandamizaji wa kila kitu, hivi sisi hatuwezi tawala kinyume na mifumo ya mabeberu? je hatuwezi kua na demokrasia inayoakisi uhalisia wetu? hebu tuacheni kuwaza kama wafu akati wengi wetu hapa ndani ni wasomi.
 
Hawezi kujitenga tangu arudi kutoka ulaya amebadilika sana. Angalia picha yake na ulinganishe na Sir Elton John. Huyu Sir Elton John anamumewe anaitwa David Fursish.
Mnawaza ufirauni muda wote thats a best reason to prove you guys are mentally ill
 
Embu acheni kukopa na kuchukua misaada msitufokee ,dunia nikijiji au kama vipi mipaka ifungwe na tutengeneze pesa zetu tuishi wenyewe si ndio yani mataga ni vic..h.aa kabisa
wewe ni mtambo kweli, unadhani utatengeneza uchumi wa nchi yako kwa kuwachekea mabeberu? tatizo lenu vijana vichwa vyenu vimejaa maji haviwez kuchanganua mambo katika mtizamo sahihi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom