Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nimekwambia unajua kwa nini Nyerere alitoka madarakani? unadhani alipenda?

Jakutaka kuwasujudia mabeberu na mambo yalikua yashamwendea kombo hivo akaona kuliko kulamba matapishi bora apishe.

Hata huu mtifuano unaoendelea dhidi ya taifa letu ni kwa sababu tunajiamulia mambo yetu bila kuzingatia matakwa yao ndomaana wanapiga kelele sana.

Wakati wa kikwete mambo kwao yalikua mtelezo ndomaana licha ya kashfa za kifisadi walikaa kimya kwasababu walikua wanufaika, in short ukiona mzungu anang'ang'ana na nchi yako ujue maslah yake yamebanwa.
 
wewe ni mtambo kweli, unadhani utatengeneza uchumi wa nchi yako kwa kuwachekea mabeberu? tatizo lenu vijana vichwa vyenu vimejaa maji haviwez kuchanganua mambo katika mtizamo sahihi.
Mabeberu ni kina nani na nchi gani?
 
Mabeberu ni kina nani na nchi gani?
Amerika na washirika wake Uingereza, German, Ufaransa na nk. hawa ndo kikwazo kikubwa cha maendeleo ya mwafrika.

Faily wanatuimbisha mapambio ya demokrasia wakati muda huo huo wanawalaghai watawala wetu wajitwalie mali zetu.

Pindi watawala wanapowagomea ndo wanaamua kufanya propaganda za kila namna kuwachafua waonekane dikteta, hebu tuwatambueni maadui zetu kwanza kabla hatujawasakama viongozi wetu wenye nia zakulijenga taifa letu.
 
The point tutaweza kuwakwepa tukiwa kama wao kijeshi,kiuchumi ,kisayansi na kiteknologia.

Kwa sasa unajifanya mjinga ,unawalipa deni lao,unaanza kukuza biashara na viwanda,unaacha ubinafsi unakuwa kiongozi na si mtawala unashirikiana na wananchi,uchumi ukishakuwa tu,ajira zitakuwa.

Elimu itakuwa, jeshi litakuwa na tutajitegemea ,ukijifanya kichaa sasahivi UTAPATA TABU SANA BRO
 
Kiualisia naona unajitoa ufaham sioni mantiki ya ww kutojua unapoelekea kama uko ndani ya nchi....labda useme unapenda kuona nchi ikirudi nyuma kimaendeleo ntakuelewa

Mkuu wewe unaona tanatupeleka wapi..???
 
This is rubbish, Kama hakuna amani na utulivu katika nafsi za watu. Kutekana, kuuana, kukumbatia watu wasiojulikana, kutoheshimu fikra m' badala, kutoheshimu katiba.HUYU MHUTU HATUFAI.
 
Status
Not open for further replies.
185 Reactions
Reply
Back
Top Bottom