Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kyela mavuno ya mpunga mwaka huu ni makubwa mno lakini hakuna wateja kabisa baada ya wateja wakubwa kufilisika
Bakheresa wateja wake wakubwa ni wakulima wa kyela wanaoingia naye mikataba ya contract farming huchukua mazao yao yote Hao watakuwa wakulima wa Chadema wabishi
 
Magu ameharibu nchi vibaya sana kiuchumi na kimaadili. Demokrasia imekufa, uhuru wa vyombo haupo na uwazi kwa serikali hii haupo, tuwe waangalifu.
 
Magu ameharibu nchi vibaya sana kiuchumi na kimaadili. Demokrasia imekufa, uhuru wa vyombo haupo na uwazi kwa serkali hii haupo, tuwe waangalifu.
Leo wananchi wa Tabora wakati wanaulizwa nani muongo kati ya Chadema na Magufuli, wakajibu kwa sauti kuu muongo wa kwanza ni Magufuli.
 
Kiukweli hali tete sana hata kuna wakati maana ya maisha inaoungua thamani, wengi wanashindwa mbali kukidhi mambo ya msingi hata kujumuika na jamii,harusi,bar nk wanajitenga.
 
Mtasubiri sana tunapeleka hela ulaya kwa kununua ndege tena tutaongeza tano zingne,fanyeni kazi kwa bidii hela zilizopo kwenye mzunguko zinatosha.Tutaendelea kujenga miundombinu hadi àkili iwajie kufanya maamuzi kwenye sanduku LA kura
 
Acha kutapeli mitandaoni hapa, na propaganda zako.

Maisha yangekua magumu na fedha kukosekana watu wangegombania kuingiza umeme vijijini kwenye manyumba yao?

Kama maisha nimagumu, nenda kijijini kwenu, hesabu nyumba ambazo mpaka sasa zimeezekwa kwa nyasi, bila kuwekewa bati, linganisha na utawala wa awamu ya nne.

Halafu umiliki wa simu umeongezeka kwa asilimia nyingii. Majengo yanayojengwa kwa kasi sasa hivi na fasheni zake na ujio wa bati alimaarufu Msauzi. Angalia kasi yake linganisha na kipindi cha nyuma

Idadi ya wanaosomesha shule za binafsi,nikubwa sana. Umiliki wa magari ya kifahari kwa mtu binafsi umeongezeka.

Vifo vya wamama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano vimepungua.

Je haya yote kama maisha yangekuwa magumu watu wangeweza kuvimudu?

Au wanavitendea majani??
Hii kiki yako imebuma, leta nyingine tukujibu.
 
Mzunguko utafute ulete wewe, sasa serikali inafanya biashara,
Au umesikia kuna watu wanadai mishahara hawajalipwa?
 
Hayo.madaraja yanapanda sh ngapi kwanza tuanzie hapo ili tune kama inawenza kusaidia?
Maana usije kuleta ushoga wako hapa wakati kiwanago kinachpannda hata hakiwezi kuongeza mzunguko,
Miaka ya nyuma mlikuwa mnaongezewa mbona bado mlilalamika?

Hujajibu hoja. Nenda kwanza nyumbani ufikiri zaidi kisha uje uongee na great thinkers.
 
Watu wamepunguza sana matumizi na kujikita kwenye matumizi ya lazima sana. Hata biashara ya mahindi ya kuchoma Dar imepungua. Hi inaashiria nini. Pesa inayoingia mifukoni mwa watu imepungua na matumizi pia yamepungua. Kawaulizeni Bruweries wanaweza kuwapa uelekeo sio tu kijinga jinga mnasema eti bia ...

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Amefungwa vipi hiyo minyororo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom