FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,069
- 40,732
Ajira ni msaada kama misaada mingine, ingekuwa sio msaada usingeomba.Siku ukijua Ajira sio msaada nafikiri utabadili mtazamo
Ajira ni msaada kama misaada mingine, ingekuwa sio msaada usingeomba.Siku ukijua Ajira sio msaada nafikiri utabadili mtazamo
Ajira ni msaada kama misaada mingine, ingekuwa sio msaada usingeomba.
Acha serikali iajiri kwa vigezo itavoona inafaaTetea hoja yako kwanini kigezo Cha kukaa mtaani tu?
Nani anakuomba ufanye kazi? Usifanye kazi tuone kama hujala pumba kama nguruweNa vipi tunaoombwa kufanya kazi?
Ajira sio msaada Ila wengi kutokana na umasikini ndio hufikiri hivyo
TrueSalaam!
Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10,
Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini.
Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali mwombaji amehitimu mwaka gani. Kuna aliyehitimu 2020 ana miaka 31 yupo mtaani, na yupo aliyehitimu mwaka 2016 ana miaka 27 naye yupo mtaani. Huyo aliyehitimu 2020 changamoto za Maisha zilimfanya achelewe kumaliza chuo/ sekondari kupitia elimu huria.
Je ni nani asaidiwe ili asipitwe na umri wa kuajiriwa Kati ya hao wawili?
Serikali iruhusu watu wote wenye sifa za kuomba waombe ajira na ajira zitolewe pasipokuangalia mhitimu amehitimu lini.
Kigezo Cha kumwajiri mwalimu kwa kuangalia mwaka aliohitimu kinaweza kisiwe kizuri Sana, kwasababu madai juu ya kigezo hiki ni kwamba watu wasizeekee mtaani bila kuajiriwa na serikali.
Kama ni hivyo, Basi uzingatiwe umri wa mwombaji bila kujalisha mwombaji huyo amehitimu mwaka gani.
Hii itasaidia kuondoa dhana ya roho mbaya
" Mimi nimekaa mtaani Sana hivyo na wewe ukae mtaani Kwanza" dhana hii inatengeneza taifa la watu wenye roho mbaya.
Serikali iruhusu watu wote wenye sifa za kuomba waombe ajira na ajira zitolewe pasipokuangalia mhitimu amehitimu lini.
Kuna Watu wamemaliza mfano, mtu kasoma bachelor Biolojia Au mathematics amekaa mtaani miaka 7 tuseme amesoma 2012 baadae akaona hapati kazi akaenda kusoma postgraduate ya ualimu wa hayo masomo, let say mwaka jana 2021.Salaam!
Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10,
Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini.
Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali mwombaji amehitimu mwaka gani. Kuna aliyehitimu 2020 ana miaka 31 yupo mtaani, na yupo aliyehitimu mwaka 2016 ana miaka 27 naye yupo mtaani. Huyo aliyehitimu 2020 changamoto za Maisha zilimfanya achelewe kumaliza chuo/ sekondari kupitia elimu huria.
Je ni nani asaidiwe ili asipitwe na umri wa kuajiriwa Kati ya hao wawili?
Serikali iruhusu watu wote wenye sifa za kuomba waombe ajira na ajira zitolewe pasipokuangalia mhitimu amehitimu lini.
Kigezo Cha kumwajiri mwalimu kwa kuangalia mwaka aliohitimu kinaweza kisiwe kizuri Sana, kwasababu madai juu ya kigezo hiki ni kwamba watu wasizeekee mtaani bila kuajiriwa na serikali.
Kama ni hivyo, Basi uzingatiwe umri wa mwombaji bila kujalisha mwombaji huyo amehitimu mwaka gani.
Hii itasaidia kuondoa dhana ya roho mbaya
" Mimi nimekaa mtaani Sana hivyo na wewe ukae mtaani Kwanza" dhana hii inatengeneza taifa la watu wenye roho mbaya.
Serikali iruhusu watu wote wenye sifa za kuomba waombe ajira na ajira zitolewe pasipokuangalia mhitimu amehitimu lini.
Nani anakuomba ufanye kazi? Usifanye kazi tuone kama hujala pumba kama nguruwe
Ni kweli yaani kupata kazi ya ualimu siku hizi ni bahatiTumetoka mbali.... leo kazi za ualimu zimekuwa za kugombania. Kipindi fulani, ukimaliza tu hata certificate, kazi uhakika!
Hili naona watu hawalioni. Si kila aliyechelewa kumaliza alikuwa anapiga mishe mtaaniKuna Watu wamemaliza mfano, mtu kasoma bachelor Biolojia Au mathematics amekaa mtaani miaka 7 tuseme amesoma 2012 baadae akaona hapati kazi akaenda kusoma postgraduate ya ualimu wa hayo masomo, let say mwaka jana 2021.
Bado kwenye kuajir wanasema huyu mtu ni muhitimu wa karibuni akati hata umri utakuta yupo kwenye 37 yrs hhu
Ni kweli yaani kupata kazi ya ualimu siku hizi ni bahati
kidereko kwanza lugha za matusi hazifai. Hakuna aliyesema Mama Samia hafai, Mama kwa utendaji wa kazi hakuna shaka ni mtendaji mzuri. Kinachomharibia ni yeye na uhusika wa kifo cha Dkt Magufuli na hii inatokana na kauli zake tata za kumsema hayati vitu ambavyo walikuwa viongozi wote hata kama alitengwa alipaswa aheshimu kiapo chake. Mama Samia ni kiongozi mwenye exposure na uelewa mpana wa mambo ila kinachowachanganya watanzania ni kauli zake tata, kukumbatia watu ambao kabisa wana kasoro au mapungufu. Hivi kwa mfano angeteua timu yake ambayo haifungamani na Dkt Magufuli au Dkt Kikwete nani angemdharau? Sasa hivi kauli zake zote hasa za kumkejeli Hayati Dkt Magufuli zinatafasiriwa huku mitaani kama vile alihusika, na kibaya zaidi Mama alikuwa anapendwa sana tena sana na watanzania wanyonge, yaani alikuwa Mama kweli. Ila kwa sasa unakuta rais kabisa na mamlaka yake anatamka hadharani vitu vitapanda bei, mara tozo etc, kwa nini asijifunze kwa Dkt Magufuli ambaye mpaka sasa watanzania wanamlilia kila kauli ya kumsema ikitamkwa. Mama muambie kuwa kuna mstari mwembamba sana kati ya yeye kushinda uchaguzi 2025 na upendo wa watanzania, chuki iliyopo ni kubwa sana juu ya kifo cha Dkt Magufuli.Kumbe Samia katangaza nafasi za ajira kwa walimu elfu kumi,mbona sukuma gang hawalisemi hili, Ngosha hajawai kuajiri mpk mauti yanamfika,halafu leo anasimama mtu kama Mudawote amevimbilwa futari yake ya mafenesi anakuambia Samia hafai! Pumbavu kabisa!!
Hasira gani kaka, mbona mi nipo kawaida kabisa😀😀😀
Sasa mbona hasira kaka
Pole Sana,kubarini tu magufuli ashakufa hatorudi Tena bibie, sorry Kama nimekukwaza best,kidereko kwanza lugha za matusi hazifai. Hakuna aliyesema Mama Samia hafai, Mama kwa utendaji wa kazi hakuna shaka ni mtendaji mzuri. Kinachomharibia ni yeye na uhusika wa kifo cha Dkt Magufuli na hii inatokana na kauli zake tata za kumsema hayati vitu ambavyo walikuwa viongozi wote hata kama alitengwa alipaswa aheshimu kiapo chake. Mama Samia ni kiongozi mwenye exposure na uelewa mpana wa mambo ila kinachowachanganya watanzania ni kauli zake tata, kukumbatia watu ambao kabisa wana kasoro au mapungufu. Hivi kwa mfano angeteua timu yake ambayo haifungamani na Dkt Magufuli au Dkt Kikwete nani angemdharau? Sasa hivi kauli zake zote hasa za kumkejeli Hayati Dkt Magufuli zinatafasiriwa huku mitaani kama vile alihusika, na kibaya zaidi Mama alikuwa anapendwa sana tena sana na watanzania wanyonge, yaani alikuwa Mama kweli. Ila kwa sasa unakuta rais kabisa na mamlaka yake anatamka hadharani vitu vitapanda bei, mara tozo etc, kwa nini asijifunze kwa Dkt Magufuli ambaye mpaka sasa watanzania wanamlilia kila kauli ya kumsema ikitamkwa. Mama muambie kuwa kuna mstari mwembamba sana kati ya yeye kushinda uchaguzi 2025 na upendo wa watanzania, chuki iliyopo ni kubwa sana juu ya kifo cha Dkt Magufuli.