Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

passionate 7

Member
Nov 17, 2020
19
14
Salaam!

Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10,
Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini.

Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali mwombaji amehitimu mwaka gani. Kuna aliyehitimu 2020 ana miaka 31 yupo mtaani, na yupo aliyehitimu mwaka 2016 ana miaka 27 naye yupo mtaani. Huyo aliyehitimu 2020 changamoto za Maisha zilimfanya achelewe kumaliza chuo/ sekondari kupitia elimu huria.

Je, ni nani asaidiwe ili asipitwe na umri wa kuajiriwa Kati ya hao wawili?
Serikali iruhusu watu wote wenye sifa za kuomba waombe ajira na ajira zitolewe pasipokuangalia mhitimu amehitimu lini.

Kigezo Cha kumwajiri mwalimu kwa kuangalia mwaka aliohitimu kinaweza kisiwe kizuri Sana, kwasababu madai juu ya kigezo hiki ni kwamba watu wasizeekee mtaani bila kuajiriwa na serikali.

Kama ni hivyo, Basi uzingatiwe umri wa mwombaji bila kujalisha mwombaji huyo amehitimu mwaka gani.
Hii itasaidia kuondoa dhana ya roho mbaya

"Mimi nimekaa mtaani Sana hivyo na wewe ukae mtaani Kwanza" dhana hii inatengeneza taifa la watu wenye roho mbaya.

Serikali iruhusu watu wote wenye sifa za kuomba waombe ajira na ajira zitolewe pasipokuangalia mhitimu amehitimu lini.
 
Salaam!
Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10,
Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini.

Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali mwombaji amehitimu mwaka gani. Kuna aliyehitimu 2020 ana miaka 31 yupo mtaani, na yupo aliyehitimu mwaka 2016 ana miaka 27 naye yupo mtaani. Huyo aliyehitimu 2020 changamoto za Maisha zilimfanya achelewe kumaliza chuo/ sekondari kupitia elimu huria.
Je ni nani asaidiwe ili asipitwe na umri wa kuajiriwa Kati ya hao wawili?
Serikali iruhusu watu wote wenye sifa za kuomba waombe ajira na ajira zitolewe pasipokuangalia mhitimu amehitimu lini.

Kigezo Cha kumwajiri mwalimu kwa kuangalia mwaka aliohitimu kinaweza kisiwe kizuri Sana, kwasababu madai juu ya kigezo hiki ni kwamba watu wasizeekee mtaani bila kuajiriwa na serikali.
Kama ni hivyo, Basi uzingatiwe umri wa mwombaji bila kujalisha mwombaji huyo amehitimu mwaka gani.
Hii itasaidia kuondoa dhana ya roho mbaya

" Mimi nimekaa mtaani Sana hivyo na wewe ukae mtaani Kwanza" dhana hii inatengeneza taifa la watu wenye roho mbaya.

Kwaiyo kumbeeeee ukishakuwa na 31 na mwingine 27 sababu ya umri na sio elimu upati hajira sio
 
Wewe hadi umechelewa kumaliza chuo maana yake uliutumia muda wako kufanya shughuli zako zingine ambazo zimeshakunufaisha tayari, wengine wamesacrifice kila kitu ili wamalize chuo mapema, hivyo waangalie mwaka wa kumaliza chuo.
 
Kisa umesoma ukiwa mzee ndo unataka uangaliwe? Hivi unajisikiaje kukaa miaka Saba mtaani kama wenzako wa 2015.

Wewe tulia kama huna connection utazionea macho
 
Back
Top Bottom