Hope mko poa wakuu.. leo mkeka wa ajira za ualimu na afya umetoka waliopata kongole kwao na waliokosa msikate tamaa kuna maisha nje ya kuajiriwa..
Kitu kimoja kimenifikirisha sana katika recruitment ya ajira hizi haswa upande wa elimu... inakuaje watu wanachaguliwa kwenda kufanya kazi katika sekta nyeti kama elimu bila usahili?? Yaani kigezo cha mtu kupata kazi ya ualimu ni mwaka aliohitimu seriously???
Kwanini usiwekwe utaratibu kama kada zingine waombaji wafanyiwe usahili ili kupata walimu walio bora wenywe uwezo wa kuleta matokeo chanya..
Imagine mwalimu hana content, hawez ku deliver na kuhamisha maarifa watoto wakamuelewa, chuo kafaulu kiujanja ujanja lakn anapata ajira kisa mwaka alohitimu.. wahusika suala hili liangalieni kwa jicho la pili igeni mfano hata wa shule za private wanavofanya..
Kuna walimu apa watakuja kuponda ila kumbukeni hii nayo ni moja ya sababu inayofanya wakubwa wasijali maslahi yenu kwa kuwa wanajua wengi mmepata ajira kimagumashi..
NB. Tuweke competition kwa walimu haswa katika usahili ili tupate walimu bora na sio bora walimu