Serikali ya Rais Samia kumwaga mitaani ajira zaidi ya 23,000 za walimu na Secta ya Afya

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,267
9,715
Ndugu zangu Watanzania,

Serikali ya Rais Samia Suluhu Hasssan imetoa kibali kwa TAMISEMI kuajiri walimu na wataalamu wa afya zaidi ya 23,000 mwezi januari na februari,hayo yameelezwa na waziri wa Tamisemi Mheshimiwa Mohamed mchengerwa .amesema kuwa pamoja na mambo mengine ni kuwa serikali inatarajia kuwapandisha madaraja walimu zaidi ya laki mbili lakini pia kuwalipa stahiki zao walimu wapya.

Mheshimiwa waziri amesema pia kuwa serikali imekuwa ikitoa Billion 33 na pointi kila mwezi kwa ajili ya kugharamia Elimu bure inayotolewa kwa wanafunzi wote katika shule zote za serikali.

Rai yangu kwa serikali yangu ni kuwa katika ajira hizi mpya ningeiomba sana serikali kwa unyenyekevu mkubwa sana kuangalia kwa jicho la huruma na upendo mkubwa sana na kuwapa kipaombele vijana wote waliomaliza shahada zao kuanzia mwaka 2015 na 2016.

vijana hawa ni muhimu sana kupewa kipaombele kwa kuwa wamekaa sana mitaani tangia wamemaliza vyuo na wamekuwa wakiona na kushuhudia wengine waliomaliza miaka ya hivi karibuni wenye sifa sawa na masomo sawa wakipata ajira huku wao wakiachwa mitaani wakiwa wanyonge na wapweke sana.

Vijana hawa waonewe huruma,watizamwe kwa jicho la kipekee na kuwashika mkono wa matumaini.wamekaa sana mitaani,wamesota sana mitaani, wameteseka sana mitaani,kila changamoto na kila maumivu wameyapitia, wamefanya kila aina ya kazi pasipo kuchagua wala kuangalia Elimu zao .ni wakati wa kuwapa ajira hizi maana sifa na vigezo vyote wanavyo.

Wapeni nafasi vijana hawa wakalitumikie Taifa lao angali wakiwa bado na molari ,nguvu na utayari wa hali ya juu sana wa kufanya kazi mahali popote pale. Ningekuwa mimi mwashambwa katika nafasi ya kufanya uchambuzi na upitishaji wa majina kwa hakika ningeanza na ningewapa nafasi hawa vijana waliomaliza miaka hiyo ya 2015 na 2016 na ndio ningeendelea na 2017.

Serikali inueni matumaini katika mioyo ya vijana hawa, wapeni nao tabasamu na furaha katika mioyo yao, wapeni faraja na kuwafuta machozi vijana hawa ambao wakati mwingine wanatembea barabarani wakizungumza peke yao wakimuomba Mungu ili siku moja nao wakumbukwe katika ajira.

Maisha ya vijana wengi yanafahamika.hata kilimo cha sasa kinahitaji mtaji ili ununue pembejeo hasa mbegu,mbolea,madawa n.k.vitu hivi vinahitaji pesa na mtaji. Wasaidieni vijana hawa ambao naamini wakipewa nafasi hii watafanya kwa moyo wote na kwa kujituma kwa hali ya juu sana ,kwa kuwa wanatambua wapi wametoka na yapi wamepitia .na kwa hakika watakuwa ni wenye huruma sana kwa watu.kwa sababu wakati mwingine ni ngumu mtu ambaye hajawahi kulala na njaa kuelewa maumivu ya njaa ya usiku ukilinganisha na yule ambaye kulala na njaa siyo msamiati mgeni masikioni na maishani kwake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Mi nirifikiri kuna, kiwanda,cha IT, magari ya, Toyota, au, general motor, ya, USA, unafungua plant bongo, au eron musk, amekuja kufungua kiwanda cha EV electrical vehicles, au, tumefungua kiwanda cha solar panel, batteries, na nafasi laki nane za ajira, za, moja kwa, moja zimetengenezwa! Sasa, ajira, 23000,tena za huduma, sio, bidhaa, zinafaida gani? Zaidi, ya, kuganga njaa tu, hizo, ajira, ni, sawa, na, kumpa mgonjwa uji, aendelee kupumua, ni, ajira ambazo hazileti pesa, za, kigeni, zinapunguza ukali wa umaskini wa watu asilimia 0.00001 tu, so, pathetic
 
Ndugu zangu Watanzania,

Serikali ya Rais Samia Suluhu Hasssan imetoa kibali kwa TAMISEMI kuajiri walimu na wataalamu wa afya zaidi ya 23,000 mwezi januari na februari,hayo yameelezwa na waziri wa Tamisemi Mheshimiwa Mohamed mchengerwa .amesema kuwa pamoja na mambo mengine ni kuwa serikali inatarajia kuwapandisha madaraja walimu zaidi ya laki mbili lakini pia kuwalipa stahiki zao walimu wapya.

Mheshimiwa waziri amesema pia kuwa serikali imekuwa ikitoa Billion 33 na pointi kila mwezi kwa ajili ya kugharamia Elimu bure inayotolewa kwa wanafunzi wote katika shule zote za serikali.

Rais yangu kwa serikali yangu ni kuwa katika ajira hizi mpya ningeiomba sana serikali kwa unyenyekevu mkubwa sana kuangalia kwa jicho la huruma na upendo mkubwa sana na kuwapa kipaombele vijana wote waliomaliza shahada zao kuanzia mwaka 2015 na 2016.

vijana hawa ni muhimu sana kupewa kipaombele kwa kuwa wamekaa sana mitaani tangia wamemaliza vyuo na wamekuwa wakiona kushuhudia wengine waliomaliza miaka ya hivi karibuni wenye sifa sawa na masomo sawa wakipata ajira huku wao wakiachwa mitaani wakiwa wanyonge na wapweke sana.

Vijana hawa waonewe huruma,watizamwe kwa jicho la kipekee na kuwashika mkono wa matumaini.wamekaa sana mitaani,wamesota sana mitaani, wameteseka sana mitaani,kila changamoto na kila maumivu wameyapitia, wamefanya kila aina ya kazi pasipo kuchagua wala kuangalia Elimu zao .ni wakati wa kuwapa ajira hizi maana sifa na vigezo vyote wanavyo.

Wapeni nafsi vijana hawa wakalitumikie Taifa lao angali wakiwa bado na molari ,nguvu na utayari wa hali ya juu sana wa kufanya kazi mahali popote pale. Ningekuwa mimi mwashambwa katika nafasi ya kufanya uchambuzi na upitishaji wa majina kwa hakika ningeanza na ningewapa nafasi hawa vijana waliomaliza miaka hiyo ya 2015 na 2016 na ndio ningeendelea na 2017.

Serikali inueni matumaini katika mioyo ya vijana hawa,wapenzi nao tabasamu na furaha katika moyo yao,wapenzi faraja na kuwafuta machozi vijana hawa ambao wakati mwingine wanatembea barabarani wakizungumza pekee yao wakimuomba Mungu ili siku moja nao wakumbukwe katika ajira.

Maisha ya vijana wengi yanafahamika.hata kilimo cha sasa kinahitaji mtaji ili ununue pembejeo hasa mbegu,mbolea,madawa n.k.vitu hivi vinahitaji pesa na mtaji. Wasaidieni vijana hawa ambao naamini wakipewa nafasi hii watafanya kwa moyo wote na kwa kujituma kwa hali ya juu sana kwa kuwa wanatambua wapi wametoka na yapi wamepitia .na kwa hakika watakuwa ni wenye huruma sana kwa watu.kwa sababu wakati mwingine ni ngumu mtu ambaye hajawahi kulala na njaa kuelewa maumivu ya njaa ya usiku.

Upuuzi Mtupu. Hizo ndo ajira pekee zilizobaki Tanzania...

There are hundreds of Careers on the planet
 
Mi nirifikiri kuna, kiwanda,cha IT, magari ya, Toyota, au, general motor, ya, USA, unafungua plant bongo, au eron musk, amekuja kufungua kiwanda cha EV electrical vehicles, au, tumefungua kiwanda cha solar panel, batteries, na nafasi laki nane za ajira, za, moja kwa, moja zimetengenezwa! Sasa, ajira, 23000,tena za huduma, sio, bidhaa, zinafaida gani? Zaidi, ya, kuganga njaa tu, hizo, ajira, ni, sawa, na, kumpa mgonjwa uji, aendelee kupumua, ni, ajira ambazo hazileti pesa, za, kigeni, zinapunguza ukali wa umaskini wa watu asilimia 0.00001 tu, so, pathetic
Kweli Kabisa hizo ajira zinaongeza umasikini na mzigo Kwa Taifa because they don't produce anything
 
Ni Bora

0742-6766
Ni vyema wakumwagie wewe ndani
 
Mi nirifikiri kuna, kiwanda,cha IT, magari ya, Toyota, au, general motor, ya, USA, unafungua plant bongo, au eron musk, amekuja kufungua kiwanda cha EV electrical vehicles, au, tumefungua kiwanda cha solar panel, batteries, na nafasi laki nane za ajira, za, moja kwa, moja zimetengenezwa! Sasa, ajira, 23000,tena za huduma, sio, bidhaa, zinafaida gani? Zaidi, ya, kuganga njaa tu, hizo, ajira, ni, sawa, na, kumpa mgonjwa uji, aendelee kupumua, ni, ajira ambazo hazileti pesa, za, kigeni, zinapunguza ukali wa umaskini wa watu asilimia 0.00001 tu, so, pathetic
Kwa hiyo unataka madarasa na shule nyingi zilizojengwa na serikali zibaki na wanafunzi pekee bila walimu? Unataka watu wakienda hospitalini wafe kwa kukosa wahudumu? Hizo ni baadhi tu ya ajira katika Secta hizo lakini kila Secta kuanzia TRA ,kilimo, Tanroads,mifugo. N.k. serikali imekuwa ikitoa ajiri za kutosha
 
Ndugu zangu Watanzania,

Serikali ya Rais Samia Suluhu Hasssan imetoa kibali kwa TAMISEMI kuajiri walimu na wataalamu wa afya zaidi ya 23,000 mwezi januari na februari,hayo yameelezwa na waziri wa Tamisemi Mheshimiwa Mohamed mchengerwa .amesema kuwa pamoja na mambo mengine ni kuwa serikali inatarajia kuwapandisha madaraja walimu zaidi ya laki mbili lakini pia kuwalipa stahiki zao walimu wapya.

Mheshimiwa waziri amesema pia kuwa serikali imekuwa ikitoa Billion 33 na pointi kila mwezi kwa ajili ya kugharamia Elimu bure inayotolewa kwa wanafunzi wote katika shule zote za serikali.

Rais yangu kwa serikali yangu ni kuwa katika ajira hizi mpya ningeiomba sana serikali kwa unyenyekevu mkubwa sana kuangalia kwa jicho la huruma na upendo mkubwa sana na kuwapa kipaombele vijana wote waliomaliza shahada zao kuanzia mwaka 2015 na 2016.

vijana hawa ni muhimu sana kupewa kipaombele kwa kuwa wamekaa sana mitaani tangia wamemaliza vyuo na wamekuwa wakiona kushuhudia wengine waliomaliza miaka ya hivi karibuni wenye sifa sawa na masomo sawa wakipata ajira huku wao wakiachwa mitaani wakiwa wanyonge na wapweke sana.

Vijana hawa waonewe huruma,watizamwe kwa jicho la kipekee na kuwashika mkono wa matumaini.wamekaa sana mitaani,wamesota sana mitaani, wameteseka sana mitaani,kila changamoto na kila maumivu wameyapitia, wamefanya kila aina ya kazi pasipo kuchagua wala kuangalia Elimu zao .ni wakati wa kuwapa ajira hizi maana sifa na vigezo vyote wanavyo.

Wapeni nafsi vijana hawa wakalitumikie Taifa lao angali wakiwa bado na molari ,nguvu na utayari wa hali ya juu sana wa kufanya kazi mahali popote pale. Ningekuwa mimi mwashambwa katika nafasi ya kufanya uchambuzi na upitishaji wa majina kwa hakika ningeanza na ningewapa nafasi hawa vijana waliomaliza miaka hiyo ya 2015 na 2016 na ndio ningeendelea na 2017.

Serikali inueni matumaini katika mioyo ya vijana hawa,wapenzi nao tabasamu na furaha katika moyo yao,wapenzi faraja na kuwafuta machozi vijana hawa ambao wakati mwingine wanatembea barabarani wakizungumza pekee yao wakimuomba Mungu ili siku moja nao wakumbukwe katika ajira.

Maisha ya vijana wengi yanafahamika.hata kilimo cha sasa kinahitaji mtaji ili ununue pembejeo hasa mbegu,mbolea,madawa n.k.vitu hivi vinahitaji pesa na mtaji. Wasaidieni vijana hawa ambao naamini wakipewa nafasi hii watafanya kwa moyo wote na kwa kujituma kwa hali ya juu sana kwa kuwa wanatambua wapi wametoka na yapi wamepitia .na kwa hakika watakuwa ni wenye huruma sana kwa watu.kwa sababu wakati mwingine ni ngumu mtu ambaye hajawahi kulala na njaa kuelewa maumivu ya njaa ya usiku.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Utekelezwaji ufanyike,matangazo yameanza Toka mwaka Jana na Simbachawene,akaja Waziri wa Tamisemi nk
 
Back
Top Bottom