King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 870
- 2,331
Congo wanakosa goal sababu ya uchoyo.
Poda??? SijaelewaSio pombe, Poda ndio inayomchanganya.. 🤣🤣
😁😁😁 Lala mkuu,. Matokeo tutakupa. Kesho. 😁😁Poda??? Sijaelewa
Ssshhhh usiwataje hao wapuuzi aisee.MESHACK ELIA ANA ROHO MBAYA KAMA TANESCO WA TANZANIA ATAKUA MKIMBIZI HUYU
Nitakupa matokeo sema kabisa upo upande gani?
Basi poa.I don't drink
Mbona hawa wakongo kwa boli ni warefu na nasikia huwa ni wafupi???🤔🤔😁😁😁 Lala mkuu,. Matokeo tutakupa. Kesho. 😁😁
Alitaka kurudi Uingereza. Eti Africa hakuna madokt. Walimpayukia. Yupo tu jukwaa la VIP.Mo Salah ana injury??
EBU LALA 🤣🤣🤣🤣Mbona hawa wakongo kwa boli ni warefu na nasikia huwa ni wafupi???🤔🤔
Wamekosa kosa hapo MisriAlitaka kurudi Uingereza. Eti Africa hakuna madokt. Walimpayukia. Yupo tu jukwaa la VIP.
Ww game za mtoano kama izi baada umpe. Mtu mpate goal unatak kaza fuvu.Selfishness
Ssshhhh usiwataje hao wapuuzi aisee.