Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,316
2,000
Karibuni,
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya AFCON 2017, Njooni tusemezane, Matokeo, news, n.k

Groups of AFCON 2017
GROUP A:

Gabon, Burkina Faso, Cameroon, Guinea-Bissau

Group B:
Algeria, Tunisia, Senegal, Zimbabwe

Group C:
Ivory Coast, DR Congo, Morocco, Togo

Group D:
Ghana, Mali, Egypt, Uganda

Ratiba ya michuano hii:
Jan 14: Gabon vs Guinea-Bissau, Burkina Faso vs Cameroon

Jan 15: Algeria vs Zimbabwe, Tunisia vs Senegal

Jan 16: Ivory Coast vs Togo, DR Congo vs Morocco

Jan 17: Ghana vs Uganda, Mali vs Egypt

Jan 18: Gabon vs Burkina Faso, Cameroon vs Guniea-Bissau

Jan 19: Algeria vs Tunisia, Senegal vs Zimbabwe

Jan 20: Ivory Coast vs DR Congo, Morocco vs Togo

Jan 21: Ghana vs Mali, Egypt vs Uganda

Jan 22: Cameroon vs Gabon, Gunieau-Bissau vs Burkina Faso.

Jan 23: Senegal vs Algeria, Zimbabwe vs Tunisia

Jan 24: Morocco vs Ivory Coast, Togo vs DR Congo

Jan 25: Egypt vs Ghana, Uganda vs Mali

Quarter-finals: January 28, 29.

Semi-finals: February 1, 2.

Third place play-off: February 4

Final: February 5.

Mbarikiwe!
 

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
2,358
2,000
Naona kama Michuano hii Siku za karibuni imepoteza Mvuto Sijui shida nini Caf wafanyefanye mambo ile ladha yake irudi.

Nakumbuka ile Fainali 2000 Nigeria Vs Cameroon muda wa Kawaida tokeo 2-2 Nigeria anakuja kufa kwenye Matuta 3-4 Kanu na Ikpepa wanakosa mikwaju yao ile ndo ilikua Fainali Kwa kweli, Daa hata msosi Sikula manake nlikua team Nigeria ila round hii ntawamiss Nigeria

Baada ya Misri ya Shehata kuanza kubeba Kombe ile ya kulifuatilia ikaisha Mpaka Zambia Anakuja kubeba tena chini ya Kina Mweene,Mayuka,Katongo,Sunzu

Ntawapa Shavu Uganda Msimu huu
 

WAIKORU

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
1,059
2,000
Nampa shavu mtu wangu wa nguvu...MANE...

Senegal for the title......

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]..
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,500
2,000
Misri rudisheni heshima yenu bhanaa...tunawapenda sana, safari hii ubingwa ni wenu...na mkishindwa linaenda Algeria...
 

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
8,055
2,000
Misri rudisheni heshima yenu bhanaa...tunawapenda sana, safari hii ubingwa ni wenu...na mkishindwa linaenda Algeria...
Ile ya mzee shihata ilichukua mwali watu wakapiga kelele kuwa wamebahatisha likaandaliwa tena wakabeba hao mafirauni walikuwa wazuri nawakumbuka kina essam el hadary nyanda huyo kuna Ahmed fathy kina sayed motaeb Ahmed zidan kina amri zaki ilikuwa shughuli pevu
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,723
2,000
*_AFCON 2017 FIXTURE_*

*14 January 2017*

*18:00PM*

*Gabon v Guinea-Bissau*

*21:00PM*

*Burkina Faso v Cameroon*

*15 January 2017*

*18:00PM*

*Algeria v Zimbabwe*

*21:00PM*

*Tunisia v Senegal*

*16 January 2017*

*18:00PM*

*Cote d'Ivoire v Togo*

*21:00PM*

*DR Congo v Morocco*

*17 January 2017*

*18:00PM*

*Ghana v Uganda*

*21:00PM*

*Mali v Egypt*

*18 January 2017*

*18:00PM*

*Gabon v Burkina Faso*

*21:00PM*

*Cameroon v Guinea-Bissau*

*19 January 2017*

*18:00PM*

*Algeria v Tunisia*

*21:00PM*

*Senegal v Zimbabwe*

*20 January 2017*

*18:00PM*

*Cote d'Ivoire v DR Congo*

*21:00PM*

*Morocco v Togo*

*21 January 2017*

*18:00PM*

*Ghana v Mali*

*21:00PM*

*Egypt v Uganda*

*22 January 2017*

*21:00PM*

*Guinea-Bissau v Burkina Faso*

*21:00PM*

*Cameroon v Gabon*

*23 January 2017*

*21:00PM*

*Senegal v Algeria*

*21:00PM*

*Zimbabwe v Tunisia*

*24 January 2017*

*21:00PM*

*Togo v DR Congo*

*21:00PM*

*Morocco v Cote d'Ivoire*

*25 January 2017*

*21:00PM*

*Egypt v Ghana*

*21:00PM*

*Uganda v Mali*
Itaanza tarehe 14 na mtanzania diamond platinumz atatumbuiza kwenye shererhe za ufunguzi uwanja wa taifa wa Gabon
Mwenye ratba ya michuono upload tuione
upload_2017-1-7_18-3-13.png

upload_2017-1-7_18-3-53.png

upload_2017-1-7_18-5-57.png
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,500
2,000
Ile ya mzee shihata ilichukua mwali watu wakapiga kelele kuwa wamebahatisha likaandaliwa tena wakabeba hao mafirauni walikuwa wazuri nawakumbuka kina essam el hadary nyanda huyo kuna Ahmed fathy kina sayed motaeb Ahmed zidan kina amri zaki ilikuwa shughuli pevu
Ha haaa Akhui hao jamaa uliyowataja walikuwa ni balaa aise, ni moto wakuotea mbali...bila kuwasahau akina Abou trika, mohd shawki, hossam ashour, ma-defender wael gomaa, sayed mouwad n.k...misry bana ilijaaliwa kwa wachezaji....na ndiyo tim niliyokuwa naipenda sana hapa Afrika.....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom