zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

    Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania Bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga?
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

    Mh Rais, Bwana asifiwe! Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
  3. JamiiForums Tanzania Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

    Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT Wazalendo. Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar Nitajaribu kuweka video kama itakubali...
  4. JamiiForums Tanzania Je, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa sio jambo la muungano? Nini kinaendelea Zanzibar?

    Wanasema mzaha mzaha hutumbua usaha, kwa mujibu wa katiba yetu, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni jambo la muungano, hii ni pamoja na misaada pamoja na mikopo kutoka nje ya nchi. (Katiba ya JMT ibara ya 4 nyongeza ya kwanza) Lakini tangu awamu ya sita ya rais wetu Samia Suluhu ishike...
  5. JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi wa Zanzibar naye atakuwa anamuachia Mama awe anaenda Safari zake kama Mama afanyavyo Kwake?

    Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Hivyo basi nami GENTAMYCINE nauliza je, na Yeye Rais wa Zanzibar...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kero za Muungano, Zanzibar wanapaswa kutumia nafasi ya uraisi wa Samia kuweka msukumo wa kupata Katiba mpya, la sivyo imekula kwao!

    Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya kufurahia baraka ndogo ndogo za uraisi wa Samia kwa Zanzibar kama kumtuma raisi wa Zanzibar kumwakilisha...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar inastahili 50% ya Muungano

    Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine. 50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?

    Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali. Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
  10. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

  11. JamiiForums Tanzania Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

    Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa jamhuri wa Muungano kama Rais na Makamu wa Rais hawawezi? Tusikae kimya tukiona katiba inasiginwa kwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ipo wapi Zanzibar kwenye vyombo vya dola?

    Si hoja ya kikatiba Wala ya kisheria ni hoja ya fikra juu ya utekelezaji wa Yale ambayo hayajaandikwa na si kwamba yalisaulika kuandikwa bali ni magumu kuyaweka kwenye makaratasi. Hakuna sehemu Katiba wala sheria inaposema wakuu wa vyombo wabadilishane kutoka na pande mbili za Muungano. Aidha...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar ateua Wakurugenzi katika Wizara ya Habari

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi amemteua Dkt. Saleh Y. Mneno kuwa Mkurugenzi wa ZBC. Nasriya M. Nassor ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utumishi na Uendeshaji. Khamis Siasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti. Shaib I. Moh'd ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG) akabidhi Ripoti kwa Rais Hussein Mwinyi

    Baadhi ya masuala aliyogusia katika Ripoti hiyo ni kama ifuatavyo: CAG ASHINDWA KUTHIBITISHA MALIPO YA MILIONI 376 KWA MADAKTARI Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Zanzibar, Dkt. Othman Abbas Ali amesema Hospitali ya Mnazi Mmoja imefanya malipo ya Tsh. Milioni 376 kwa ajili ya wito wa...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar mpaka Dar es Salaam kumfuata mtoto wa Kipare

    Duuu, zenji dar mkuu. Shuka nami, Nikiwa chuo mwaka wa pili, nilikua nimepanga kitaa na na washkaji zangu wawili, mmoja kutoka Moro town chalii wa kinyamwezi ila walowezi wa moro, na mdigo mmoja alolowea korogwe. Mshkaji wa moro alikua na demu wake anatesoma form five alfa gems hapo moro, ila...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

    Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika. Kwa kudra za Mwenyezi Mungu...
  17. JamiiForums Tanzania Zari, Diamond ndani ya Zanzibar

    Shoga kidawa nasikia yuko Zanzibar na sadala(domo), Sijui ndo wameenda kuoana au ku shoot video, wanataka tu kutupa presha hapa wambea mxieew
  18. JamiiForums Tanzania Balozi Abbas Sykes asomewa Khitma Zanzibar

    BALOZI ABBAS SYKES ASOMEWA KHITMA ZANZIBAR Ndugu, jamaa na marafiki wa Balozi Abbas Sykes jana walimsomea khitma Msikiti wa Makuti Kisiwandui. Wanasiasa wanapenda sana pale wapouzungumza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kusema kuwa muungano baina ya watu wa nchi hizi mbili ulikuwako kwa...
  19. JamiiForums Tanzania TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru 2021, Umewashwa na makamu wa pili wa Rais Zanzibar utakimbizwa siku 150!

    Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir. Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita. Source: ZBC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…