zanzibar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar. Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imepata wapi pesa ya ruzuku ya mafuta?

    Wakati wa mchakato wa rasimu iliibuka hoja ya serikali tatu, Dr. Shein akiwa rais wa Zanzibar wakati huo alikuwa miongoni mwa watu walipinga Kwa madai mapato ya Zanzibar ni kidogo hivyo isingemudu gharama za uendeshaji serikali ya muungano. Leo taarifa ya habari imetangaza hatua ya serikali ya...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkoa utaoweza kuja kufikia hadhi ya u-vip kama mkoa wa Zanzibar

    Sio nchi kamili kwa hio hatuwezi kuiita nchi ila itoshe kusema huu ni mkoa vip 5 star, ni tofauti kabisa na mikoa yote ya Tanzania Weka zile hoja za kipumbavu pembeni kwamba Zanzibar kiongozi wao anachaguliwa Dodoma, wanasahau kwamba sharti lazima awe mzanzibari na si Mtanzania bara, hakikisha...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mstaafu wa Marekani, Mike Pence atua Tanzania

    Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park. Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika...
  5. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

  6. Chode kanju

    JamiiForums Tanzania SoC02 Zanzibar Na uchumi wa buluu (Blue Economy)

    Zanzibar ianze na lipi kuelekea uchumi wa buluu wenye tija ? Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye Dira yake ya maendeleo ya mwaka 2050 miongoni mwa yaliyopewa kupaombele ni pamoja na sera ya uchumi wa buluu. Katika Dira ya maendeleo ya mwaka 2020 ambayo ilitekelezwa ndani ya miaka 20...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa dakatari zanzibar

    Ni kweli kuwa mshahara wa medical doctor mwenye degree katika hospitali za serikali zanzibar ni 800k?
  8. Kinengunengu

    JamiiForums Tanzania Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje?

    Nawasalimu wakulungwa. Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje maana wakati wa May Mosi, Rais Mwinyi aliahidi kuongeza asilimia 17. Sasa naomba tujifunze, je nyongeza ipo na kama ipo imekaaje? Maana huku Tanganyika Chief Hangaya kafanya yake.
  9. Mohammed Salum

    JamiiForums Tanzania Forodhani Zanzibar

    Moja ya maeneo yanayokusanya watu wengi, hasa nyakati za jioni visiwani Zanzibar, ni Forodhani Garden, ukubwa wake si zaidi ya kilomita moja za mraba, lakini hubeba melfu ya wageni wa ndani na wa nje ya Tanzania. Upekee wa bustani hii ni uwepo wa vyakula vya aina mbalimbali, vikiwemo vya asili...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, ipo siku Taifa la Tanganyika litafufuka? Je, itakuwaje? Je, Zanzibar itakuwepo ama?

    Taifa la watu wa Tanganyika. Taifa alilopewa baba wa Taifa hili hayati Mwl Julius Nyerere. Ilakutokana na vita baridi moja ya mashirika ya kijasusi yakaipa taarifa tanganyika kile siku za mbele kitatokea na kwa nn kile kisiwa lazima kiwe kama Taifa moja. Well nisiandike zaidi yahiki nimepata...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

    Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija. Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
  13. idoyo

    JamiiForums Tanzania Hapa Zanzibar tunapiga "mnyama" kama kawa japokuwa adimu

    Chanzo: NBS
  14. J

    JamiiForums Tanzania Masultani wa Zanzibar Ali Bin Hamud, na Khalifa bin Harub, walikuwa Waafrika

    Ali Bin Hamud Khalifa Bin Haroub
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid Mohammed: CCM haina uwezo wa kushinda uchaguzi ulio huru Zanzibar

    ..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukodishia visiwa 52 wawekezaji

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametema nyongo kuhusu mambo saba aliyosema yamekuwa yakipotoshwa kwa makusudi ili kumkatisha tamaa, lakini akasisitiza kuwa hatarudi nyuma hata hatua moja. Dk Mwinyi alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika utaratibu wake wa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
  18. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wazungu wamechafukwa, lango la Kilimanjaro na Zanzibar hapa Bole ni kufuru

    Wakuu nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza. Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi. Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa. Ngongo kwa sasa Addis Ababa Bole International Airport
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

    Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi. Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha. Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
  20. More Chances

    JamiiForums Tanzania Biashara kati ya Zanzibar na Dar

    Habari za asubuhi wapendwa Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar Niko interested sana na biashara za Electronics. Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela...
Back
Top Bottom