Hapa Zanzibar tunapiga "mnyama" kama kawa japokuwa adimu

Hapa Mpendae mbona tunagonga kama kawa tu. Kwan nani aliwaeleza kula mnyama hapa Zenji hairuhusiwi??
 
Nna washikaji zangu watoto wa baba mdogo wanaipiga vizuri tukiwa maeneo
 
Huku Kimara tunakula na wapemba.Wanakuambia wakila haiwadhuru kwa hiyo hawaoni sababu ya kutokula
 
Back
Top Bottom