Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka...
Habarini wakuu.,
Nimeona kuna haja ya kuja na uzi huu, ni baada ya tathmini halisi iliyofanywa na wachambuzi mbali mbali kuhusu maendeleo ya wazanzibari wote unguja na pemba.
Sera ya Dr Mwinyi wakati wa uchaguzi ilikuwa ni ''yajayo yanafurahisha'' lakini sasa imekuwa ni kaa la moto baada ya...
Based on Dar es salaam & Zanzibar.
Generator Services, Refrigerator Services, Air conditioners Services, Electrical wiring, Washing machines services.
For first & Reliable Services call us First. +255 693 797 110
Cc. Breeze Rabi
Uwanja ndege wa AAKIA mwaka 2021 ulipokea wageni wa kimataifa 732,000 ukifuatiwa na JNIA uliopokea wageni 604,000 wa kimataifa, ikiwa ni tofauti ya wageni 128,000.
Ripoti ya takwimu za kitaifa (Tanzania in figures 2021) inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa uwanja huo...
UNAMJUA ''BAMANGA'' AHMED SAID KHARUSI KATIKA HISTORIA YA UHURU WA ZANZIBAR?
Leo nimeletewa picha ya Ahmed Said Kharusi maarufu, ''Bamanga.''
Maktaba yangu ya picha imepambwa sasa na picha mbili za mzalendo huyu ambae hatajwi katika historia ya Zanzibar.
Nimemtaja Ahmed Rashaad Ali mara nyingi...
Mpeni nafasi tena namba 8 na namba 6 katika mechi zote mbili vs kipanga na malindi
Hatutarajii mambo ya ya yayayayayayaya trab na trat
Mpeni nafasi tumuone kama hafai tujue moja
Mkazi wa Nungwi kisiwani Zanzibar, Athumani Akida Juma (32) amekamatwa na pakiti 20 zenye kete 2,401 zinazodaiwa ni dawa za kulevya aina ya heroin.
Hayo yamesemwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Zanzibar, Kanali Buruhani Zuberi Nassoro wakati akizumgumza na...
Kumekuwa na hii tabia ya kuchukua mikopo kwa ajili ya shughuli mbali mbali zinazoitwa za kimaendeleo; ila kinachoshamgaza ni jinsi mikopo hiyo inavyogawanywa kwa usawa baina ya Watanzania wa Bara na Wazanzibari as kanakwamba idadi ya Zanzibar na Bara ni sawa.
Hivi uwe na maandazi 10, halafu...
Zanzibar, Tanzania 🇹🇿 1907
A British sailor removes the leg chains off an enslaved African man who had worn them for three years, 1907.
The photos were taken by Joseph Chidwick who was serving aboard the HMS Sphinx at the time. The men shown in the photos had escaped from a slave-trading...
IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayowajengea wanawake misingi bora ya uongozi katika ngazi mbalimbali ndio kikwazo kikuu kinachokwamisha ufikiaji wa usawa wa kijinsia katika vyombo vya maamzi nchini.
Hayo yameelezwa na viongozi wa vyama vya siasa Kisiwani Pemba katika mkutano wa...
Habari hii ina ukakasi wa kutosha:
Ni vipi makamu wa rais kushindwa kutoa sababu bayana kwanini bei za mafuta Zanzibar, ni chini kuliko bara kwahakika inashangaza.
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga alieleza kwamba alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na familia yake yote ili kupata nafuu baada ya kushindwa Uchaguzi wa Agosti 9, 2022.
Waziri Mkuu huyo wa zamani alibainisha kuwa safari ya nje ya nchi ilikuwa muhimu kuwezesha familia yake...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesitisha ukodishaji wa ardhi iliyotolewa kwa kampuni ya Pennyroyal Limited ya Uingereza ya Pennyroyal Limited ya Matemwe, mwendelezaji huyo ametangaza.
Ardhi inayozungumziwa ilikuwa hekta 411 ambapo mradi wa mapumziko wa Blue Amber ulikuwa unaendelea...
Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
Wanabodi,
Mhe. Samia alifanya ziara huko Zanzibar kwenye eneo la Kizimkazi mahali pa asili yake. Cha ajabu (sijui labda uelewa wa wengine sio ajabu) miongoni mwa viongozi wakuu watatu wa Zanzibar yaani Rais, Makamu 1 na Makamo 2 sikumuona hata mmoja hapo.
Au kwa vile ni kijijini kwake, kwa...
Kwa uchache KWA kutizama megaprojects za Zanzibar... Kama
Ujenzi wa uwanja wa cricket wenye Thamani zaidi ya dola mil 30 .
Ukodishwaji wa Visiwa vyake KWA wawekezaji.(Uchumi wa buluu KWA ujumla)
Real estates projects.
Nk.
TIRIGIVYOGO YA MSHAHARA
Napenda kuchukua fursa hii kueleza maoni na hisia zangu juu ya ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma kwa hapa Zanzibar.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia raisi wake mpendwa kwa nia njema ilitangaza kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kuanzia mshahara...
Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza.
Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari.
Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika...
Zanzibar. Pengine hakuna watu waliolipokea kwa mikono miwili agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa Jeshi la Polisi kuhusu haja ya kuiongezea Zanzibar ulinzi kama wazazi na ndugu na jamaa ambao mpaka wakati wa kuandika makala haya wanashindwa kupata usingizi kwa kutokujua hatma ya wapendwa wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.