Biashara kati ya Zanzibar na Dar

9plus4

Member
Jun 24, 2022
85
206
Habari za asubuhi wapendwa

Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar
Niko interested sana na biashara za Electronics.

Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela Dar

Mtaji wangu kwa sasa ni 2M.

Comments zote zitasomwa

Ahsante
 
Vuka maji kachukue accessories za simu au simu au vitu vya kielectronik mfano speaker ndogo then jitangaze uuze
 
Habari za asubuhi wapendwa
Mimi ni kijana umri wangu ni 30years
Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar
Niko interested sana na biashara za Electronics.
Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela Dar
Mtaji wangu kwa sasa ni 2M.

Comments zote zitasomwa
Ahsante
Electronics used ndo bei nafuu kwa kule. Usisahau hela ya tra bandarini.
 
Habari za asubuhi wapendwa
Mimi ni kijana umri wangu ni 30years
Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar
Niko interested sana na biashara za Electronics.
Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela Dar
Mtaji wangu kwa sasa ni 2M.

Comments zote zitasomwa
Ahsante
Note : lazima ufahamu unapokwenda kwanza , than strategies soko lako na demand ya bidhaa unazohitaji ,

kuwa na mwenyeji ni muhimu pia,
ukienda znz kichwa kichwa utakuta bidhaa ulizofuata bei ni ile ile ya kariakoo , lakini pia ukilifahamu chimbo la znz , utauza mpaka ujisahau ,
akili mtu wangu
 
Unaakili kweli..wazenji wanakimbilia bara kwa ugumu wa maisha wewe nawe unaenda kuaagiza nini huko..wakati watu wahuko hata mchicha wanagiza kutoka kwenye bonde la msimbazi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom