zanzibar

  1. More Chances

    JamiiForums Tanzania Biashara kati ya Zanzibar na Dar

    Habari za asubuhi wapendwa Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar Niko interested sana na biashara za Electronics. Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tukimalizana na wamasai wapemba wajiandae Kwa Zanzibar ya Buluu

    Kisiwa Cha pemba ni fursa kubwa Kwa utalii japo Kwa Sasa maeneo mengi yamehodhiwa na wazawa na wameshindwa kuyaendeleza. Nadhani katika kukuza pato la Taifa upo umuhimu wa kujenga maghorofa kama aliyojenga Karume Unguja then familia za wakaazi wa Pemba wakae kwenye makazi hayo nadhifu kuruhusu...
  4. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Kutoka Zanzibar: Singida Big Stars tumefanya mazungumzo na Avran Grant, Fadiga

    Watu wa Soka, Leo Singida Big Stars tumeshiriki kongamano la mpira wa miguu maarufu kwa jina la Tanzania Football Summit 2022 linaloendelea hapa visiwani Zanzibar. Pamoja na mambo mengine muhimu, tumefanya mazungumzo na kocha mstaafu wa klabu ya Chelsea Avram Grant, mchezaji wa zamani wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar wanaweza Tanganyika mshindwe mna nini ?

    Nauliza tu, inakuwaje Upinzani Zanzibar wanaweza kuisakama Serikali tu maximum na tunaona mpaka Raisi Hussein inabidi aonekane kwenye vyombo vya habari kujielezea mwenendo wa serikali yake? Ukija kwenye Muungano WaZanzibari wanarapu kwa sauti kuu na hueleza kila kitu kwa weledi na mwenye kutaka...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

    Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii. Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika! Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU...
  7. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Duh! Kumbe Zanzibar ilikuwa na Sultan mwenye asili ya Oman aliyekimbilia uhamishoni baada ya Mapinduzi mpaka mwaka 2021

    Yaani mpaka mwaka jana Zanzibar ilikuwa na Sultani ambaye alikuwa Uingereza na kustaafu mwaka jana akiwa Omani. Je, akuna mwingine aliyechaguliwa? 'The last Sultan who ruled Zanzibar was Jamshid bin Abdullah, who was deposed in a coup in January 1964. In April that year, Zanzibar united with...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Uzinduzi Zanzibar akosoa kuchukua waliofeli kuwa walimu asema ndio wanadumisha elimu nchini

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation - Zanzibar Rais ahuzunika kwa kufeli sana kwa mkoa anaotokea, Kusini Unguja. Rais Samia azungumzia ubovu wa matokeo Zanzibar ambapo alitoa maelekezo na sasa ufaulu kwa wanafunzi umeongezeka. Amezungumzia...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimetokea Oman kwa Mjomba na nimeshukia Kwanza Zanzibar niwape Salamu za Mjomba kisha nikapige Kazi kwa Wagogo na Wazaramo

    Na safari hii nimeamua kutumia Ndege yangu Mwenyewe Maalum Kusafiria kwani nimeshachoka na Kelele zenu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi: Madiwani Zanzibar kulipwa mishahara huku wa Tanzania bara wakitumika kwa posho ya vikao

    Nchi ni moja na rais ni mmoja kwa nini madiwani wa Zanzibar walipwe mishahara huku hawa wa bara hawalipwi? Huu ni ubaguzi usiofaa. Bajeti Zanzibar Sh2.59 trilioni. ======= Madiwani Z’bar kulipwa mishahara Jesse Mikofu Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) jana imewasilisha...
  11. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka Zanzibar kuja Dar

    Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli. Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo Zanzibar japo sijajua utaratibu upoje. Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mzanzibari hana cha kupoteza wala hawezi kupatwa uchungu Ngorongoro ikiuzwa, Tanzania bara tupambane na hali zetu

    Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake. Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
  13. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Ubalozi Norway waainisha Mafanikio na changamoto wanazokumbana nazo wanawake kushika nafasi za Uongozi Zanzibar

    JUMLA ya wananchi 3,222 kisiwani Pemba wakiwemo wanawake 1,971 na Wanaume 1,251 wamefikiwa kupitia mikutano mbali mbali inayofanywa na wahamasishaji jamii ambayo inalenga kuhamasisha jamii kuacha dhana potofu na kuunga mkono jitihada za wanawake ili kupata haki ya kushiriki katika demokrasia na...
  14. New ID l

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwalimu Nyerere, mchanga au udongo wa Tanganyika aliushika kwa mkono gani wakati wa kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar?

    Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo. Sasa naomba kujuzwa udongo wa Tanganyika ulishikwa kwa mkono gani hapo, wa kulia au kushoto?
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

    Ni muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar. Watu wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata muundo wa Serikali za Tanzania na Zanzibar?

    HABARI WAKUU, SERIKALI AU TAASISI YOYOTE DUNIANI LAZIMA IWE NA STRUCTURE Ipo hivi serikali yetu ina OFISI YA RAISI, OFISI YA MAKAMU WA RAISI na OFISI YA WAZIRI MKUU Chini ya hao kuna wizara TAASISI zote km TBA, TRA, TANESCO, BOT zipo chini ya wizara Apo kuna mpangilio mfano BOT yupo chini...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Maximo to attend Tanzania football summit in Zanzibar

    It's greats especially in expanding sports tourism thank mama #SSH for an unique exposure Dar es Salaam. Former Tanzania national football team (Taifa Stars) head coach Marcio Maximo is expected to be among dignitaries who will attend Tanzania’s second Football Summit scheduled to take place on...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi azindua tamasha la Sanaa na Utamaduni visiwani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo. Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Azam Marine yaongeza nauli kwenda Zanzibar, kuanza kutumika kesho Mei 19

    Wale wa kuvuka maji, boti zinatumia mafuta...
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

    Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni...
Back
Top Bottom