Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%
Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6
Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
Leo nimeona mjadala mkubwa umekuwa ukiendelea kuhusiana na utofauti wa bei ya lita moja ya mafuta kati ya Zanzibar na Tanganyika.
Na picha zikisambaa mitandaoni kuonesha Zanzibar lita moja ni 2600+ TZS wakati Tanganyika ni 3100+ TZS, huku swali kubwa likiwa inakuaje bei iko chini Zanzibar...
Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa?
Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Marekani ni sahihi kabisa ila kuzindua Filamu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda.
Kama serikali ilikua serious ilipaswa filamu hiyo baada ya kuzinduliwa Marekani, ikazinduliwe Ulaya na Kisha Asia kama Japan, China, South Korea, Malaysia...
Nimepitia kurasa kadhaa katika mitandao ya kijamii kama Facebook, magroup ya WhatsApp na Jamii Forums watu wakiijadili kauli ya Rais WA Zanzibar Dr. Hussein Ally Mwinyi alioitoa akikisisitiza kwamba Mtanzania Bara haruhusiwi kumiliki ardhi KISIWANI Zanzibar.
Wengi wa wachangiaji wameonekana...
TAARIFA YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
1. UTANGULIZI
Ni historia ya kupigiwa mfano kwa Taifa letu kwamba tunaadhimisha miaka 58 ya Muungano wetu. ambapo nchi mbili huru, Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ziliungana rasmi siku ya tarehe 26-04-1964...
Tumelishwa imani nisiyojua nini maana yake. Licha ya Tanzania kuungana na Zanzibar bado Mombasa wana maingiliano makubwa ya kitamaduni na Unguja na Pemba nadhani kuzidi hata Dar es Salaam.
Je, Nani anaweza kufafanua manufaa ambayo Tanganyika imeyapata kutokea muungano ya kiuchumi, kisiasa na...
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali
Msamaha huo utahusisha Wafungwa wanaotumikia adhabu kwa makosa ya usafirishaji wa Dawa za Kulevya ambao wamekaa gerezani kuanzia miaka 20 na...
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo, Rashid Hadid Rashid amesema hakuna mabomu yaliyokutwa katika boti iliyookotwa kando kando mwa fukwe ya bahari ya Bwejuu kama ilivyodhaniwa na baadhi ya wavuvi walioisogeza boti hiyo ufukweni
RC...
ZANZIBAR
IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayotoa fursa sawa za upatikanaji wa haki za msingi kwa wanawake na wanaume katika jamii nyingi nchini ndio chanzo cha wanawake wengi kukosa uwezo wa kusimama kudai haki zao na kushiriki kikamilifu katika ngazi mbalimbali za maamuzi.
Hayo...
BACKGROUND
As one of the original eight pilot countries for the UN Reform initiative Delivering as One, Tanzania is a global leader in advancing reforms of the UN system, with a view to support accelerated harmonization in implementation practices, coherence in programming, and alignment with...
Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.
Anyways, hakuna ubaya ni...
Mnamo mwaka 1696 hadi 1698 utawala wa Unguja unatajwa kuwa uligawanyika ambapo aliyekuwa mtawala wa Zanzibar Kaskazini alikuwa ni Malkia Fatuma binti Yusuf al-Alawi.
Fatuma alikuwa mtoto wa mfalme wa Unguja, Yusuf. Utawala wa Fatuma ulikuwa katika kipindi ambacho wareno walikuwa wanataka...
ASILIMIA 48 ya wahojiwa kuhusu ajali za barabarani, kisiwani Zanzibar wameeleza kwamba uzembe wa madereva ni kati ya chanzo kikuu cha ajali za barabarani, huku asilimia 27 wakisema ni kutozingatiwa sheria za barabarani.
Takwimu hizo zimebainishwa hivi karibuni Mkoani Dar es Salaam, kwenye...
Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake.
Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi...
Zanzibar’s Commission for Tourism has come out to respond to an explosive account of assault shared online by a Nigerian woman on her experience at a ritzy hotel on the island last year.
Zainab Oladehinde, through her Twitter account on Saturday, narrated her 23rd birthday celebration at Warere...
Je, Wazanzibar wanaomba kupitia ajira portal hii au kuna ajira portal yao?
Nimeona nafasi za TRA usaili ulifanyika DSM, Dodoma na Zanzibar.
Hao waliofanya usaili Zanzibar walipatikanaje? Naomba muongozo
Hii kitu inaumiza sana , Tanganyika na Zanzibar ni nchi 2 tofauti tujue kabisa !
Mtu unanunua gari Zanzibar ukija bara unadaiwa tena ushuru , kwanini ?
Wataalamu wa Kodi mnaweza nielezea hili kwa nini iwe hivi ?
Kama sisi ni nchi 2 tofauti tuelewe basi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.