Ndege ya Air Tanzania iliyotokea KIA kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha, libadilishwe!

Attachments

  • Screenshot_2023-08-17-16-20-00-45.jpg
    Screenshot_2023-08-17-16-20-00-45.jpg
    45.7 KB · Views: 1
Kuna utetezi mreefu uliwahi kutolewa kuhusu picha ya tairi la ndege lililokuwa na mwonekano wa kuisha. Kwa mujibu wa yule bwana anasema ati tairi lina mzunguko wake hadi kuja kuisha na katika hali ile bado anasema lilikuwa halijamaliza mzunguko wake nikabaki nimeduwaa
 
Wabongo tupunguze ujuaji na kuongea kila jambo. Kila unaloona limekosewa? Ukipanda ndege unaongea, ukiingia ofisi ile unaongeaaaaa tooo much talk jamani
Hutaki watoe maoni yao? Hata kama wamekosea. Hutaki kufahamu unaowapatia huduma wanauelewa gani kuhusu huduma yako?

Ofisi za umma, zinahudumia umma. Watumishi wengi wa umma ni wazembe na wavivu ndio maana hawataki wananchi watoe maoni kuhusu utendaji wenu.

Sikiliza, badilika. Sikiliza, elimisha. Mtumishi wa umma usikatae kusikiliza maoni ya wananchi.
 
Back
Top Bottom