Kwanini Wanawake walio katika ndoa hukumbuka rafiki zao wa zamani na kutaka kulianzisha?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,657
2,000
Unakuta demu umekua nae mkiwa watoto au kusoma nae mpaka std 7, sometimes mmemaliza nae sekondari. Lakini mmepotezana miaka kibao zaidi ya 20. Akikutana na jamaa zenu anauliza ulipo na kutafuta contacts, akizipata ni usumbufu tupu kutaka game, mbaya zaidi wengi wameolewa na kuzalishwa.

Tatizo lipo wapi? Au wengi wanakuwa wamekosea njia? Hii facebook ndio inawarahisishia kabisa kutafuta marafiki wa zamani, kosa tu wakikupata ni meseji za kufa mtu kutaka kuanza kupangana.
 
MKAKA HALISI

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
306
500
Mm nadhani ni kutokana na changamoto za maisha hasa baada ya kuwa mtu mzima na familia juu. Hivyo hupelekea mtu kuwaza nyuma aliko toka kwani alikua akifanya hata sex alikuwa anafurahia kuliko alivyo sasa hivyo kuona hata mwanaume wa zamani alikua bora
 
kajojo

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
2,573
2,000
Unakuta demu umekua nae mkiwa watoto au kusoma nae mpaka std 7, sometimes mmemaliza nae sekondari. Lakini mmepotezana miaka kibao zaidi ya 20. Akikutana na jamaa zenu anauliza ulipo na kutafuta contacts, akizipata ni usumbufu tupu kutaka game, mbaya zaidi wengi wameolewa na kuzalishwa.

Tatizo lipo wapi? Au wengi wanakuwa wamekosea njia? Hii facebook ndio inawarahisishia kabisa kutafuta marafiki wa zamani, kosa tu wakikupata ni meseji za kufa mtu kutaka kuanza kupangana.
Kuna limoja huko insta nimeshaanza kuona dalili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom