TANZIA Fred Jim Mdoe mwandishi wa zamani wa BBC afariki dunia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,543
141,351
Fred Jim Mdoe mwandishi wa habari nguli aliyewahi kufanya kazi BBC amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kiharusi.

Mdoe.jpg

Fred Mdoe enzi za uhai wake​

RIP Mdoe
 
Rest in paradise.

Hizi ni siku za mwisho.

Lord help us!

We ignore all the signs that death can happen anytime and to anybody. hata wanaolindwa au kuangaliwa sana wanakufa. Hizi kelele za corona si za Tanzania tu. Pote ulimwenguni. Kwanini sisi tunaona maajabu ya watu kufa na ugonjwa huo? nani anayeweza kuzuia watu wasife na corona popote pale kwenye dunia hii kwa sasa?
 
Amekufa kwa kiharusi (siyo Corona) enyi wazushi msio na haya wala hiyana
Nikukumbushe tu hata corona inaweza sababisha kiharusi(stroke).Corona inaweza sababisha damu kuganda kwenye vimishipa vidogo kwenye ubongo hivyo kusababisha kiharusi.
 
Nikukumbushe tu hata corona inaweza sababisha kiharusi(stroke).Corona inaweza sababisha damu kuganda kwenye vimishipa vidogo kwenye ubongo hivyo kusababisha kiharusi.
Tunaambiwa wengine wanakwenda na "cardiac arrest" iliyosababishwa na malaria; kwa hiyo tusifikirie kabisa habari za corona!
 
Kwa kiharusi

Subiri COv-Idiot waje hapa waanze kusema korona

BBC wenyewe wamesema kiharusi lakini Cov-Idiots utasikia korona

Kila kifo mnakimbilia kusema siyo Corona. Kama hiki tayari umeshawahi seat ya mbele. Na nyimbo zile zile.

Idiot!

Tumeshasikia hata vya ajali za boda boda jombi. Ila usisahau:

"Hips don't lie."

Atalaumiwa sana dobi!
 
We ignore all the signs that death can happen anytime and to anybody. hata wanaolindwa au kuangaliwa sana wanakufa. Hizi kelele za corona si za Tanzania tu. Pote ulimwenguni. Kwanini sisi tunaona maajabu ya watu kufa na ugonjwa huo? nani anayeweza kuzuia watu wasife na corona popote pale kwenye dunia hii kwa sasa?
Typo anajiita jiwe anadhani makao makuu ya Mungu yako Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom