Habari wana JF,Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝.
Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba "EX" wangu wote, hata kama walikuwa na uchungu kuhusu kutengana, kamwe hawakatai kukutana nami...