Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Nyafwili

JF-Expert Member
Nov 27, 2023
2,773
6,884
Habari wana JF,Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝.

Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba "EX" wangu wote, hata kama walikuwa na uchungu kuhusu kutengana, kamwe hawakatai kukutana nami ninapowaomba tena Baraka zao, awe ameolewa au awe hajaolewa wananipa naogelea kama kawaida.

Sijawahi kukutana na upinzani wowote kutoka kwa "EX" zangu, hata wale ambao hatujawasiliana kwa miaka kadhaa kutokana na umbali au sababu nyingine za kibinadam. Kila mara tunapokutana, tunapata "BURUDIKO," hata kama wapo katika mahusiano mapya.

Hii inanifanya kuwa na wasiwasi kwa sababu najisikia kama vile wasichana nilio nao katika uhusiano nao wanafanya hivyo hivyo, pia kushindwa kuzuia ombi la kukutana na "EX" zao, hata kama wananithibitishia hawatarudi nyuma. Naona Ni ngumu sana kuamini, hasa inapokuwepo nafasi ya kukutana tena.

Kauli yangu ni moja tu, Kula Tunda Mara Moja Waachie Wezio 😎😎.
 
Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.

Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.

Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏

Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.

Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏

Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
 
Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.

Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.

Anafamilia yake na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏

Mkuu, Kwa hiyo EX wako , huwezi kumpa mnofu tena?
 
hivi hakuna sehemu ya kutag wana jf members wote
 
Kweli alipanda mbegu na mmea ukaota

Kuna vijana watakuja nawaona wanatype watasema kwanini asipande mbegu nyingine ili furaha izidi.

Huna baya mkuu,ukifa hauozi.
 
Habari wana JF!!! Poleni na majukumu ya hapa na pale .

• Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba "EX" wangu wote, hata kama walikuwa na uchungu kuhusu kutengana, kamwe hawakatai kukutana nami ninapowaomba tena Baraka zao, awe ameolewa au awe hajaolewa wananipa naogelea kama kawaida.

• Sijawahi kukutana na upinzani wowote kutoka kwa "EX" zangu, hata wale ambao hatujawasiliana kwa miaka kadhaa kutokana na umbali au sababu nyingine za kibinadam. Kila mara tunapokutana, tunapata "BURUDIKO," hata kama wapo katika mahusiano mapya.

• Hii inanifanya kuwa na wasiwasi kwa sababu najisikia kama vile wasichana nilio nao katika uhusiano nao wanafanya hivyo hivyo, pia kushindwa kuzuia ombi la kukutana na "EX" zao, hata kama wananithibitishia hawatarudi nyuma. Naona Ni ngumu sana kuamini, hasa inapokuwepo nafasi ya kukutana tena.

Kauli yangu ni moja tu, Kula Tunda Mara Moja Waachie Wezio .
Kama hatujaachana from no where nakubal
 
Back
Top Bottom