zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Zamani ukitembelea nyumbani kwa mtu unapewa albamu ya picha uangalie, siku hizi unapewa nini?

    Hizi mambo za kupewa albamu kuangalia picha za wenyeji wako hivi bado zipo kweli ndugu zangu? Wewe ukienda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki ukifika wanakupa nini au wewe ukitembelewa huwa unawapa nini?
  2. LINGWAMBA

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI wiki nzima tumelipia leseni kwenye mfumo wa mtandaoni lakini hatujapa leseni mpaka sasa

    Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza! Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi! Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tunaipokea treni ya mchongoko kwa shingo upande, ni kama ile ya zamani imechongwa kimchongo

    Usanifu ni sanaa ya ubunifu! Na ubunifu ni sayansi yenye vipimo ili kupata muonekano unaovutia. Katika hatua za utengenezaji huanza na michoro na mpangilio wa ndani (interior design) Hii treni tuliyopokea tukiambiwa ni ya mchongoko. Ukitafuta ile curve ilivyo chongwa unaona kabisa ni mchongo...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hapo Zamani za Kale...

    HAPO ZAMANI ZA KALE ''Hadithi, hadithi.'' Msimuliaji atanadi kama vile anauza kitu. Wasikilizaji wataitika ''Hadithi njoo, utamu kolea.'' Msimuliaji atajibu, '' Hapo zamani za kale...'' Simulizi itaanza. Sijui nianzeje na sijui niseme kitu gani. Kilichonisukuma kuweka picha hizo mbili ni...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Kocha wa zamani wa Simba, Dkt. Adel Zrane afariki Dunia

  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

    Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga ndoa na mkewe, Toukam Fotso Laure Verline si wake Kibaiolojia Geremi (45) amefungua kesi Mahakamani...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasiasa ambao tayari wameshapitishwa kimkakati kuwa wabunge katika majimbo yao ya zamani, Kinachosubiriwa ni wao kutangazwa tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na kuwaumiza au kuua mipango yao, hiyo ni shauri yao, kikubwa mimi nafikisha ujumbe ili kila mtu...
  8. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi letu la zamani

    Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati, Tulikutana mtoni, kuipanga mikakati, Halikuwa la kihuni, lisilo la kisaliti, Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati. Tulikutana porini, tunapookota kuni, Ugumu tulipateni, mpenzi kuweka ndani, Mahari ng'ombe sitini, mwari wamtoleeni, Penzi letu la...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa zamani wa Boeing aliyekuwa akikosoa ubora wa ndege hizo akutwa amefariki nchini Marekani

    Bwana Barnett alifanya kazi kwa kampuni kubwa ya ndege ya Marekani kwa miaka 32, hadi alipojiuzulu mwaka wa 2017 kwa sababu za afya. Tangu mwaka wa 2010, alifanya kazi kama meneja wa ubora katika kiwanda cha North Charleston kinachotengeneza Dreamliner ya 787, ndege ya kisasa sana inayotumiwa...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaratibu za zamani uliruhusu timu ambayo sio Bingwa wa Ligi kushiriki Kombe la Club Bingwa?

    Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe. Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
  11. greater than

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Zamani ila Mgeni mpya

    Hello wana Jamii. Nimekuwa nikisoma majadiriano mengi ya wana Jamii forums kwa mda wa miaka mitano sasa. Ila karibuni ndiyo nimeamua kujiunga rasmi nami niwe mmoja wapo wa wachangiaji na kuweza kuelimishana kwa vitu kadha wa kadha.
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Pilau na biriani zinakosewa heshima sana ukilinganisha kipindi cha zamani

    Miaka 90 kushuka chini swala la pilau na biriani mpaka kuwe na sherehe au sikukuu ndio chakula kinapikwa. Watu walikuwa wapo tayari kukaa na njaa ili wale sana chakula hiko. Kwa sasa imekuwa fujo kila ijumaa ni fujo yani ukienda kwenye harusi walaji wa pilau hawapo kabisa na unaweza usipakuliwe.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

    Habarini za majukumu wana JF, Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
  14. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Hili la ENL nimefaidi sana, Ahsanteni vijana wa zamani hizo

    🕯Salaam Wakuu🕯 1. Nyuzi zinapishana sana 2. Historia imerudi nyuma 3. Mengi yameibuka. 4. Wengi wamezungumza 5. Lakini sioni wa kumwamini Napata picha ENL alikua mtu mkubwa sana katika siasa ya nchi hii kushinda hata baadhi ya Maraisi wetu. Mimi kwake nimejifunza kitu kimoja kikubwa - UKIMYA...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa zamani, Bwege anaumwa, amekatwa mguu, tumuombee

    Mzee Bwege mbunge wa zamani wa CUF, anaumwa na amekatwa mguu kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua. Vyombo vya habari vya Tanzania vimeripoti. Natoa wito kwa wadau wa jf na wengine tumuombee ili apate nafuu haraka
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Saini ya Rais wa zamani wa Nigeria yaghushiwa na kutolewa Tsh. Bilioni 15

    Nigeria inatafuta usaidizi wa Interpol ili kuwakamata washukiwa Watatu wanaodaiwa kuiba Dola 6.2m (Tsh. Bilioni 15.1) kutoka Benki Kuu ya Nigeria kwa kutumia sahihi ya kughushi ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Muhammadu Buhari. Mamlaka zinaamini washukiwa walikula njama na aliyekuwa Mkuu wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Zamani aliona madaftari mzigo, sasa anaona zege jepesi

    Habari wana-JF kwa ujumla, elimu ndio kila kitu kwa ustawi wa nchi na kwa maendeleo ya mtu binafsi, kuna kijana mmoja la chuga alikuwa akilazimishwa na wazazi wake asome. Yeye kwa akili ya ujinga akaona kama vile wanamuonea. Sasa amekuwa mtu wa kujitegemea, wazazi wamekuwa wazee, shule alifeli...
  18. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enhe, na vipi kuhusu hii 'kufinyia kwa ndani'; iko toka zamani au imeanzishwa hivi karibuni katika kuhakikisha 'na ya kutolea' inatumwa?!!!

    Naomba nijue hili maana sasa ndo imekuwa habari ya mijini. Karibuni.....
  19. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Uzi wa picha maalumu za Drama za kikorea za zamani Tupia ya kwako!!

  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Unajua ni kwanini zamani inasemekana kulikuwa na watu wengi wenye akili?unajua kwanini vijana maisha ni magumu?

    Kila zama na nabii wake,walikuwepo wakina adamu,nuh na akina ibrahimu wote walikuja wakati ambao dunia haimtambui mungu na ujio wao ulikuwa ni wenye lengo la kutambulika kwa nguvu kuu yenye mamlaka dhidi ya nguvu zote,katika zama hizi habari zilikuwa hazina ukubwa kiasi cha kusambaa kila eneo...
Back
Top Bottom