zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. IBRA wa PILI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni darasa kuhusu hii mifumo ya simu ya sasa na zamani

    Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia. Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Diddy aomba radhi baada ya video akimpiga Cassie kusambaa

    Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake. Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
  3. Uwesutanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna aina moja ya nyimbo za zamani nazitafuta

    Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA) Au redio Tanzania daresalaam (RTD) Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko. Mara anataja SHAMBA mara sijui TOKA EE Ni aina fulani hivi za nyimbo nikama msanii analalamika hivi. Yaani...
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Badilikeni Wanawake wameharibika Siku hizi,sio zamani.

    Wanaume badilikeni zama za kuhangaika na mwanamke kisa unampenda sana epukeni hiyo tabia. Wanawake sasa kwa uchunguzi nilioufanya usio rasmi Asilimia sio chini ya 70% wanajiuza... Anaweza jiuza Directly au indirectly, Kundi kubwa lipo kwenye hii package ya indirectly selling Wapo wanaojiuza...
  5. Godee jr

    JamiiForums Tanzania Serengeti Lager tunaomba logo ya zamani

    Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana. Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee ila ni mbaya. Acha nyeusi ibaki nyeusi na kijani ibaki kijani
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Inakuaje gari ni mpya ila namba ni ya zamani

    Wakuu na wataalam hawa haya maswala, inakuaje gari ni mpya toleo la karibuni lakini namba ya usajili unakuta ni ya mwaka 2001 huko. Naombeni mnijuze
  7. L

    JamiiForums Tanzania Napingana na Dr Bashiru, Kuviachia Vyuo vikuu viajiri kama zamani

    Akiwa Bungeni Dr Bashiru ameitaka serikali kubadilisha mfumo wa kuajiri kutoka Utumishi na kuviachia vyuo vikuu kuajiri. (Namkubusha tu 2019 alikuwa bado ni Magu, na katika hili watumishi wengi waliumia) Utumishi hawana kosa. Adhma ya jambo hili ni jema lakini, athari zake ni kubwa sana, na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke bendara ya taifa kwenye ofisi za umma na ofisi za taasisi mbalimbali, na zipandishwe na kushushwa kama ilivokuwa zamani

    Hili ni agizo la mwananchi wa kawaida Kwa serikali. Ni aibu ofisi za mitaa, vijiji, miji mbalimbali nchini kukosa bendera ya taifa huku mkiimba uzalendo mdomoni. Mmeshindwa hadi na mahotel na shule za chekechea wao wanakua na bendera ya taifa ilihali ninyi ofisi zenu hazina bendera. Vituo vya...
  9. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Fahamu Mbinu na vifaa vilivyotumika kutoa adhabu kwa wahalifu enzi za zamani. (Ancient torture methods)

    Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya wahalifu hao kusema na kutaja wenzao ambao walihusika katika uhalifu huo. Ancient rome, Greek, China, ni...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ummy aumbuliwa, ajikuta akisifia kwa takwimu za zamani

    Kutoka mtandao wa X, kizuri Kula na mwenzio, naweka hapa ili wapiga zumari wajifunze Namna ya kumsifia unayempenda bila kujidhalilisha. Kumbuka technology haiongopi. Tunadanganya kwa faida ya Nani? Rais Samia kataa sifa hizi za kipumbavu. Pokea zile unazostahili. ==== Bandiko hili kwa hisani...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Bima ateuliwa kuwa Kamishna wa NCAA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA) Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024 Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa...
  12. Omuzaile

    JamiiForums Tanzania Barabara ya maili moja shule kwenda sheli ya zamani( Morogoro road) -KIBAHA

    Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM. Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote...
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JF imenitoa ushamba, miaka mitano natumia external kucopy mafaili speed niliyozoea MB 16 kwa sekunde kumbe natumia teknolojia za zamani

    Nilipitia uzi flani humu unaitwa "Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea" Ndipo nikagundua na mimi nimefanywa dampo la wafanyabiashara kujipigia pesa kwa kuuza vitu vilivyopitwa na...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Zamani ukiwa unasafiri kwenda Dar hulali usiku

    Sijui shida ilikuwa nini yaani ukiwa unasafiri na bus haswa kwenda dar tuseme bus linaondoka saa 12 asubuhi basi usiku unapata mawenge usingizi hauji kabisa Ila siku hizi ukiwa na safari ya kesho saa 12 hupati mapepe wala wasiwasi wa kuachwa na gari unalala fresh tu hata ikibidi pombe...
  15. Dudukwe

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Usafi wa Zamani!

    Habari zenu Wanajukwaa! Leo nimekumbuka kipindi tuna miaka 3-7 ilikuwa ikifika jioni baada ya michezo ya siku nzima, mama anakagua miguu kama ni michafu kabla ya kuingia ndani (kuoga haikuwa lazima ila Kunawa miguu ilikuwa Jambo la Lazima, mara kumi usiingie ndani kama miguu ni Michafu) Baada...
  16. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran, na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas, Hezbolla,Houthis na sasa Iran na itachukua muda mrefu sana katika operesheni zake katika miji ya...
  17. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa taarifa huweza kufanyika kwa kuchukua tukio la zamani na kulifanya lionekane la sasa

    Upotoshaji wa taarifa huweza kufanyika kwa kuleta tukio la lililotokea zamani na kulitangaza au kuliunda ili lionekane kama limetokea leo. Wapotoshaji huweza kutumia mbinu hii kwa namna mbalimbali. Katika mjadala huu tutagusia mbinu tatu zifuatazo: Kubadilisha Tarehe au Muktadha: Mtu anaweza...
  18. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  19. Bravo247

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu suala hili kuhusu watumiaji wa X zamani Twitter

    NImekuwa nikiona watu wengi wakipost picha halafu wanaandika caption video iko kwenye comment. Ni kwanini hawataki kupost video moja kwa moja kwenye post? Kwangu mimi naona ni usumbufu tu na nikiona post ya hivo huwa naachana nayo.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunazidi kustarabika. Siku hizi ni ngumu sana kukuta watu wakipigana kama zamani, Tujipe hongera

    Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani. Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k. Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha...
Back
Top Bottom