Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (I.E zaidi ya 200) kwenye SMS App yangu

pastory kimaryo

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
520
500
Habari wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi au kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo ningependa tujuzane.

Lengo langu ni niweze kutuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio whatsapp kwasababu ya changamoto ya bundle kwasababu hata hapa JF natumia freebasics na asubuhi kuanzia saa 12 hadi saa 2 natumia offer ya voda ya mb 60 bure kila siku, so naombeni mnisaidie kuhusu hilo swala langu.

Wana tech, natanguliza shukrani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom