zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo ilikuwa zaidi ya blue monday

    Nadhani leo ilikuwa ile siku ambayo ulimwengu ulikuwa na mpango maalum wa siri wa kunitesa,.. Kwanza Leo nimeamka kww kuchelewa Sana.. Nakujq kucheki simu iko low charge.. Kumbe jana nilichomeka charge lakini haikufika mwisho Kwa njaa na hangover nilivyokuwa navyo nikakimbilia jikoni kuona...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania zaidi ya milioni 50 wanakosa Lishe bora UN wabainisha.

    Ndugu zangu kama ripoti ya UN ni kweli basi bado Tanzania tuna umasikini mkubwa na naweza kukubaliana nao kwa sababu ni familia chache sana Tanzania zinazoweza kupata mboga za majani na matunda angalu kwenye mlo wa mchana na usiku au tuseme milo angalau miwili kwa siku bila kujali muda...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  4. JamiiForums Tanzania Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambiliaji Selemani Mwalimu ambaye msimu uliopita aliichezea Simba kwa mkopo, ikiwa ni siku chache tangu mchezaji huyo anukuliwe katika clip iliyopostiwa na Simba akisema ataendelea kuichezea timu hiyo katika msimu wa 2026/27. Mwalimu alikuwa akiichezea...
  5. JamiiForums Tanzania Yesu aliwezaje kuhubiria watu zaidi ya 80k bila kutumia kipaza sauti?

    Niko hapa kujifunza.
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Isaiah Yunge, ametoa shilling billion 7 za kenya ili kufanikisha ndoa yake charlene Ruto

    Kumekuwa na machapisho kadhaa yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya na Tanzania, yakidai kuwa kijana Mtanzania, Isaiah Yunge, ametoa zaidi ya shilling billion 7 za Kenya ili kufanikisha ndoa yake na bintiye William ruto huko nchini Kenya Miongoni mwa machapisho hayo kuna ujumbe...
  7. JamiiForums Tanzania Nkindikwa afungua Habeas Corpus akipinga kushikiliwa kwa zaidi ya siku 40 bila kufikishwa mahakamani

    Nkindikwa Nestory Mashaka maarufu Kijana Mzalendo kupitia wakili wake William Maduhu amefungua kesi ya Habeas Corpus akitaka afikishwe mahakamani au aachiliwe huru na Jeshi la Polisi linaomshikilia kwa zaidi ya 40 sasa. Kwa mujibu wa Wakili Maduhu aliyezungumza na waandishi wa habari Agosti 4...
  8. JamiiForums Tanzania MO Dewji: Nimewekeza Simba zaidi ya 100bl.

    Tajiri na mdhamini wa Simba Mohamed Dewji amesema kuwa kwa kipindi kutoka 1998 hadi 2026 amewekeza zaidi ya 100bl klabuni hapo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya ndege 40 za Marekani zaharibiwa tokea wa mapigano ya anga ya Iran

    Mgogoro wa Iran Kikosi cha uokoaji cha Marekani kiliacha ndege mbili aina ya MC-130J na helikopta nne aina ya MH-6 Little Bird ndani ya Iran baada ya usafiri huo kuzama kwenye mchanga laini wa njia ya ndege ya kurukia ndege ya kielektroniki.Vyombo vya habari vya serikali ya Iran Helikopta hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi alipambana kumkomboa mtu mweusi zaidi ya Nyerere?

    Ukisikia viongozi weusi utaona wanatajwa sana Mandela, Nkrumah, Lumumba et al. Nyerere unakuta si maarufu sana kwenye majukwaa ya kimataifa, lakini kuna kiongozi kaipambania Africa kumzidi Nyerere? Hospitali ya Nyerere Angola.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa GSM Wa Katoro Alipata Zaidi Ya Billion 1.4 Ndani ya Muda Mfupi Kama Zawadi kwenye Send off Yake Lakini CHADEMA wanahenyeka hadi leo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote . Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za Serikali zichunguze Mradi wa Kongani la viwanda Maranje wenye thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 300

    Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, unaolenga kuongeza ubanguaji wa korosho ndani ya nchi ifikapo Mwaka 2030. Hata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  14. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wanafunzi UDOM: Ukosefu wa maji umezidi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa (ni zaidi ya siku5 sasa)

    Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada. Inasikitisha kuona tatizo hili...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Je hili ni Tatizo? nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa

    Wakuu sikwamba napenda kuumwa ila hali hii pindi fulani hunipa mashaka labda huenda naumwa ndani kwa ndani na sijijui.maana nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa na ikiwa nikaumwa labda kujisikia vibaya ugonjwa wangu ni mafua na home tu na baada ya siku 3 au 4 nimepona pia nikiwa na kidonda baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Xrays zaidi ya tatu ndani ya miaka 4

    Hata ndugu au mtu unayemfaham amefanya x rays zaidi ya tatu? HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu alishafanya x rays zaidi ya tatu? Chest na skull?

    Hata ndugu au mtu unayemfaham amefanya x rays zaidi ya tatu? HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Keroche Breweries yauzwa kwa mnada kufuatia madai ya mishahara ya zaidi ya KSh22 Milioni

    Mali ya kampuni ya Keroche Breweries imeuzwa kwa mnada kufuatia agizo la mahakama kuhusu madai ya mishahara na marupurupu ya wafanyakazi wa zamani yenye thamani ya zaidi ya KSh22 milioni. Kwa mujibu wa taarifa ya Citizen TV iliyochapishwa Julai 21, 2026, wadai walichukua hatua ya kisheria...
  19. JamiiForums Tanzania Crypto utakuwa ni kiboko kizuri Cha Mabenki

    Leo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao wakanikata tena 5000. Pili nilijaribu USSD yao *150*03# bila kuangalia Salio, nikakutwa pia...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 30 ya bongo flava: Hizi ndio biti kali ambazo siku hio majani alikuwa ameamka vizuri na hakuwa na hangover za billcanas

    1: nini mnataka mazee - piggy black https://youtu.be/dCOyQ05vS68?si=uECRMWaSnpW4Q9CI 2: sonia - juma nature https://youtu.be/uA9-zhfpUjM?si=QhUUlDaEV8M1T-kh 3: ya leo kali - wachuja nafaka https://youtu.be/sB1mDNApBMk?si=M3SI1vQAvIa5ucy4 4: Mitungi/Mikasi - Ngwair...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…