zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama mikutano ya chama kilichokuwa kimefungiwa kwa zaidi ya miaka nne imeitikisa CCM ni dhahiri kuwa wananchi wameishaichoka CCM

    CCM ile ambayo ilikuwa haijachokwa ilikuwa na kiburi sana. Walikuwa hawaogopi chama chochote na walikuwa wanatumia Khanga na nyimbo za John Komba kuwarubuni kina mama ili kupata kura. Leo hii watamrubuni nani kwa khanga na nyimbo za mipasho? Mikutano ya chama kikuu cha upinzani imekifanya kiwe...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania tanzania imeingia kwenye Nchi 5 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV duniani

    Kwa mujibu wa makadirio ya kimataifa ya hivi karibuni hizi ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV South Africa – Takribani milioni 8.3 India – Takribani milioni 2.5 Mozambique – Takribani milioni 2.4 Nigeria – Takribani milioni 2.0 Tanzania – Takribani...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii ndo kete ya Mwisho na hatari zaidi ya CCM kupambana na maandamo tukivuka tumeshinda japo tutaumia sana

    Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho. 1. Divide them and rule.. 2. Fake Propaganda and illusions.. 3. If you can't convince them, confuse them rejea history ya ujenzi wa mnara wa babel (Mwz 11, 1-9) 4. Let them fight each other...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  5. kyaibumba

    JamiiForums Tanzania Pamoja na vita maisha ya Ukraine yaendelea kawaida na wanakula bata zaidi ya Mwanamatumbi

    Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida tumeruka music na mke wangu na familia then...
  6. Stability

    JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
  7. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Je kuna kitu kingine kisicho hai tunachokula zaidi ya chumvi?

    Ni vipi hivyo?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Majohe: Zaidi ya Masaa 24 Bila Umeme, Tanesco Hamtoi Taarifa Wala Majibu, Tatizo Nini?

    Ninaomba kuwasilisha kero yangu kwa Tanesco kuhusu hali ya umeme katika maeneo la Majohe, Dar es Salaam. Kwa muda sasa tumekuwa tukikumbana na tatizo la kukatika umeme mara kwa mara bila taarifa yoyote. Karibu kila baada ya siku mbili au tatu tunakaa siku nzima bila umeme, huku wananchi...
  9. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Madhara makubwa zaidi ya bawasiri ni hali ya bawasiri kubadilika na kuwa seli Za KANSA

  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanauza kitimoto viwanjani kombe la dunia! Mpira ni zaidi ya dini.

    Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden! Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa AI kila neno unatumia kijiko cha maji upate taarifa.Ni kwamba mchakato ni zaidi ya injini ya gari kupoza rejeta

    Leo USA nipo na idara amabazo kwa nchi yetu hii teknolojia hata server mnazotaka zifanye kwa wakati mi naona kwa haya ni ngumu kuendesha AI. Leo nimeweka AI mfumo ndani mwangu ni sawa na kutumia dobi kumi ndani ya siku moja. Je teknolojia ni hasimu wa mtumizi wa umeme na kusababisha Joto.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madaktari Halmashauri ya Mpimbwe na kutolipwa Call Allowance kwa zaidi ya mwaka mmoja

    Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo, fedha zimekuwa zikipokelewa lakini zinabadilishwa matumizi kinyume na kusudio lake na bila utaratibu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukijenga nyumba ya zaidi ya million mia 200 fanya haya.

    Mtu ukiwa unauwezo wa kujenga nyumba ya zaidi ya million 200. Basi jitahidi kuwawapa kazi kampuni mzuri ya ujenzi. Pia Kuleta interior and external designer ili nyumba iwe na mvuto. Sio nyumba inakuwa ya gharama afu Iko ovyo. Haipendezi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wakati Ruto kapata zaidi ya $3B mwaka huu kutoka USA ! Samia anajiongezea PHD kapata $0

    Wakati Ruto kapata zaidi ya alipewa $1.6 B ya afya na sasa amepewa $1.7B kwasababu ya Ebola. Ebu tujiulize ni ajira ngapi zitapatikana ni zaidi ya $3B inaingia Kenya. Samia anajiongezea PHD huko Urusi kapata $0 anakuja na mashaga sijui yanasaidia nini Tanzania. Hii ndiyo tofauti ya nchi yenye...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kama kweli Nchimbi ni msaliti kama Yuda, angeweza kuachiwa madaraka ya kuitawala nchi kwa zaidi ya siku tatu?

    Mtu msaliti kama Yuda aachiwe kutawala nchi hii? Hili jambo linashangaza sana. Kwa Sasa Nchimbi ndio mkuuu wa nchi maana rais yupo nje kwenye ziara.
  16. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii Dunia tunayoishi ina miaka zaidi ya bilioni kama tunavoaminishwa na wazungu?

    Ugonile, Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma. Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kukaa kimya kwa Mbowe hakumsaidii chochote, zaidi ya kumtambulisha ni mtu wa kununa

    Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa Unawezaje kuwanunia...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi sijui Hesabu au Mabeberu Wana Hela? Apple Pekee ina Thamani Sawa na Bajeti ya Tanzania ya Miaka 200?

    Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe! Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea. Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion. Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
  19. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna jamii yenye wanawake warembo zaidi ya wanawake wenye asili ya Africa?

    Ebony queens👑
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Magaidi 600 wa Hezbollah waangamizwa na Israel huko Lebanon-Kusini!!!

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema Jumatatu kuwa Israel itaongeza nguvu ya mashambulizi yake nchini Lebanon ili “kuisambaratisha” Hezbollah. Katika ujumbe wa video uliorekodiwa, Netanyahu amesema kuwa Israel ipo vitani dhidi ya Hezbollah na kwamba katika wiki za hivi karibuni...
Back
Top Bottom