Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,423
- 46,142
Tajiri na mdhamini wa Simba Mohamed Dewji amesema kuwa kwa kipindi kutoka 1998 hadi 2026 amewekeza zaidi ya 100bl klabuni hapo.
Udogo wa hiyo pesa umeupima kwa ile uliyonayo kwenye account yako?Pesa ndogo sana
Udogo unapimwa sehemu alipowekeza na kwa miaka mingapi!! Na ukubwa wa clubUdogo wa hiyo pesa umeupima kwa ile uliyonayo kwenye account yako?
Na jezi kajaza mabango ya bidhaa zakeMbona ndogo?
Au zingine alikuwa anatoa kama msaada?
Ambayo hayo mabango pia yapo hapo kwasababu kayalipia.Na jezi kajaza mabango ya bidhaa zake
Haji aliwahi kuhoji ilo suala kipindi wamezinguana, nikajua tu anawatumia wazee wa kuharaNa jezi kajaza mabango ya bidhaa zake
Kati ya hizo kasharudisha ngapi?Tajiri na mdhamini wa Simba Mohamed Dewji amesema kuwa kwa kipindi kutoka 1998 hadi 2026 amewekeza zaidi ya 100bl klabuni hapo.
Mbona ndogo?
Au zingine alikuwa anatoa kama msaada?
Pesa ndogo sana
Tajiri na mdhamini wa Simba Mohamed Dewji amesema kuwa kwa kipindi kutoka 1998 hadi 2026 amewekeza zaidi ya 100bl klabuni hapo.