Leo ilikuwa zaidi ya blue monday

Leo ilikuwa zaidi ya blue monday

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,100
Reaction score
859,272
Nadhani leo ilikuwa ile siku ambayo ulimwengu ulikuwa na mpango maalum wa siri wa kunitesa,..
Kwanza Leo nimeamka kww kuchelewa Sana.. Nakujq kucheki simu iko low charge.. Kumbe jana nilichomeka charge lakini haikufika mwisho

Kwa njaa na hangover nilivyokuwa navyo nikakimbilia jikoni kuona kuna nini cha fasta lakini nikaishia kujijigonga kidole c cha mwisho cha mguu kwenye pembe ya meza kwa nguvu kiasi cha kusikia mlio masikioni na kuona nyota za kila rangi..😂🥱

Maumivu yalipopoa njaa nayo ikawa imetoweka.. Nikajiandaa fasta na kukimbilia kwenye gari
Ile nafika kwenye gari niligundua nimesahau funguo za gari mezani,

Nikarudi chap nikazinyakua na kutoka nduki... nilipofika barabarani, foleni iliamua kunikalia kooni maana taa zote zikawa nyekundu kwa pamoja...😂 kabla ya kupigwa na tope zito la lori lililopita kwa fujo wakati kioo changu kikiwa wazi nusu.

Mkosi haukuishia hapo kwani nilipofika ofisini nikiwa nimenyeshewa kama kitambaa cha kufutia sakafu, niligundua nimesahau funguo za ofisi nyumbani😚

Ikabidi niache gari nikimbie home na boda.. Kufika home kumbe nimesahau funguo za nyumbani kwenye gari..

Kwa kifupi ni kwamba hakuna hata kitu kimoja kilichokaa sawa leo.
Kazi imeshindikana na mipango ya leo imefeli kabisa..
K inachofuata ni kusahau haya yote na kusubiri kesho tena.!, kwa sasa nipo zangu hapa just karibu na home napata mtori na chapati 2.. Kisha nishushie na mbili tatu za baridi sana ili kupoza akili na kurudisha mawazo sawa.

Kama upo karibu jongea.. Favourably jinsia kinzani😋
f9eb61c6-ee6f-4944-8f95-a303ff2dec7b.jpeg
717670fe-a6b6-468d-bbfe-5633078027a6.jpeg
 
Kama upo karibu jongea.. Favourably jinsia kinzani😋View attachment 3651805View attachment 3651806
Umeamua jambo jema kabisa kuamua kuzimua ili kichwa kikae sawa!!
 
Back
Top Bottom