Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.
Hamjambo!
Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu.
Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii.
Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo.
Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi...
Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini.
Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
Anonymous
Thread
arusha
michango
mmoja
moyo
mwaka
mwaka mmoja
nssf
yangu
zaidiya
Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters?
Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula binadamu kama chakula chake.
Moja ya visa vikubwa duniani vya wanyama kula watu ni kisa cha Man eaters...
Nadhani leo ilikuwa ile siku ambayo ulimwengu ulikuwa na mpango maalum wa siri wa kunitesa,..
Kwanza Leo nimeamka kww kuchelewa Sana.. Nakujq kucheki simu iko low charge.. Kumbe jana nilichomeka charge lakini haikufika mwisho
Kwa njaa na hangover nilivyokuwa navyo nikakimbilia jikoni kuona...
Ndugu zangu kama ripoti ya UN ni kweli basi bado Tanzania tuna umasikini mkubwa na naweza kukubaliana nao kwa sababu ni familia chache sana Tanzania zinazoweza kupata mboga za majani na matunda angalu kwenye mlo wa mchana na usiku au tuseme milo angalau miwili kwa siku bila kujali muda...
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambiliaji Selemani Mwalimu ambaye msimu uliopita aliichezea Simba kwa mkopo, ikiwa ni siku chache tangu mchezaji huyo anukuliwe katika clip iliyopostiwa na Simba akisema ataendelea kuichezea timu hiyo katika msimu wa 2026/27.
Mwalimu alikuwa akiichezea...
Kumekuwa na machapisho kadhaa yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya na Tanzania, yakidai kuwa kijana Mtanzania, Isaiah Yunge, ametoa zaidi ya shilling billion 7 za Kenya ili kufanikisha ndoa yake na bintiye William ruto huko nchini Kenya
Miongoni mwa machapisho hayo kuna ujumbe...
Nkindikwa Nestory Mashaka maarufu Kijana Mzalendo kupitia wakili wake William Maduhu amefungua kesi ya Habeas Corpus akitaka afikishwe mahakamani au aachiliwe huru na Jeshi la Polisi linaomshikilia kwa zaidi ya 40 sasa.
Kwa mujibu wa Wakili Maduhu aliyezungumza na waandishi wa habari Agosti 4...
Mgogoro wa Iran
Kikosi cha uokoaji cha Marekani kiliacha ndege mbili aina ya MC-130J na helikopta nne aina ya MH-6 Little Bird ndani ya Iran baada ya usafiri huo kuzama kwenye mchanga laini wa njia ya ndege ya kurukia ndege ya kielektroniki.Vyombo vya habari vya serikali ya Iran
Helikopta hizo...
Ukisikia viongozi weusi utaona wanatajwa sana Mandela, Nkrumah, Lumumba et al. Nyerere unakuta si maarufu sana kwenye majukwaa ya kimataifa, lakini kuna kiongozi kaipambania Africa kumzidi Nyerere?
Hospitali ya Nyerere Angola.
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote .
Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, unaolenga kuongeza ubanguaji wa korosho ndani ya nchi ifikapo Mwaka 2030.
Hata...
Anonymous
Thread
mamlaka
mamlaka za serikali
mradi
serikali
thamani
viwanda
wenye
zaidiya
1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi
Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa.
2. Magari...
bei
bora
fikiria
gari
gereji
kabla
kijana
kiwango
kiwango cha juu
kununua
kununua gari
matengenezo
miaka
miaka 10
mtaani
nunua
nzuri
presha
punguza
zaidiya
Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada.
Inasikitisha kuona tatizo hili...
Wakuu sikwamba napenda kuumwa ila hali hii pindi fulani hunipa mashaka labda huenda naumwa ndani kwa ndani na sijijui.maana nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa na ikiwa nikaumwa labda kujisikia vibaya ugonjwa wangu ni mafua na home tu na baada ya siku 3 au 4 nimepona pia nikiwa na kidonda baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.