Xrays zaidi ya tatu ndani ya miaka 4

Xrays zaidi ya tatu ndani ya miaka 4

Mashine nyingi Kwa SASA, ni za kisasa, na kiwango cha mionzi kinachotolewa ni kidogo mno.

Nilifanya vipimo vya X-ray katika vipindi tofauti:

  • Chest X-ray mara ya kwanza mwezi wa 1 mwaka 2022
  • Skull X-ray mwezi wa 9 mwaka 2024
  • Chest X-ray mwezi wa 1 mwaka 2025
  • Skull X-ray mwezi wa 3 mwaka 2025

Baada ya kujua kuhusu madhara yanayoweza kuhusishwa na mionzi, nimekuwa na hofu kubwa kwamba huenda vipimo hivyo vimeniletea hatari ya kupata saratani siku zijazo.
 
Kuwa na Amani mkuu! Mambo mengi yamebadilika sio kama zamani. X ray machine nyingi kwa sasa, ufanisi ni mkubwa, na kiasi cha mionzi kinachotolewa ni kidogo mno.
 
Kuwa na Amani mkuu! Mambo mengi yamebadilika sio kama zamani. X ray machine nyingi kwa sasa, ufanisi ni mkubwa, na kiasi cha mionzi kinachotolewa ni kidogo mno.
Nachoamini hata hizo za zamani kipindi chake tuliambiwa ni za kisasa na zimeboreshwa compared na za zamani zaidi kama zilikuwepo
 
Sawa
Hivi wapo watu hufanya x rays hata zaid ya kumi? Kwa maelekzo ta daktari ikiwa kuna umuhimu?
Daktari ndiye ana ufahamu zaidi kuhusu Hilo, ikiwa kuna sababu ya msingi ya kupiga x ray zaidi ya moja. Cha muhimu huwaga wanazingatia dose. Kwa ulichokisema sioni kama kuna Jambo la kukuumiza kichwa.

Usalama wa kupiga x ray, Kwa SASA ni mkubwa mno, kutokana na ufanisi wa machine za siku hizi.
 
Nachoamini hata hizo za zamani kipindi chake tuliambiwa ni za kisasa na zimeboreshwa compared na za zamani zaidi kama zilikuwepo
Ni kweli mkuu! Jinsi muda unavyoenda teknolojia nayo inakuwa, ufanisi wa vifaa nao unaongezaka. Kutokana na uzoefu nilio nao kama biomedical engineer, x ray za siku hizi ni salama mno.
 
Ni kweli mkuu! Jinsi muda unavyoenda teknolojia nayo inakuwa, ufanisi wa vifaa nao unaongezaka. Kutokana na uzoefu nilio nao kama biomedical engineer, x ray za siku hizi ni salama mno.
Shida ni kwamba nilifanya hospital tofauti alafu nlikuwa sitoi feedback kama nilikwisha fanya ndio maan nakuwa na hofu

Kiasi nataman niwe nafanya vipimo kila baad ya miez kadhaa ili kama itatokea niiwahi kuliko ije itokee nisifham alagu iwe muda umeshaenda mkuu.
Ingawa now imeshapita mwaka toka nifanye hizo
 
Ni kweli mkuu! Jinsi muda unavyoenda teknolojia nayo inakuwa, ufanisi wa vifaa nao unaongezaka. Kutokana na uzoefu nilio nao kama biomedical engineer, x ray za siku hizi ni salama mno.
X ray ya mapafu ni bei gani approximate
 
Mashine za zamani zimepelekwa wapi?
Mashine za Zamani zinatumika pamoja na Vifaa vingine vinavyotumia mifumo ya Komputa (Computed Radiography System) kutengeneza Picha kwa kutumia mionzi kidogo.
Kama ni za Zamani (Convetional) ambazo zinatumia vifaa vinavyohitaji Chemicals na Maji (Manual or Automatic)kutengeneza picha ndizo bado zinaweza kuhitajia kiasi kikubwa cha mionzi kutengeneza picha.
Kama sikosei kwa sasa Hospitali za mikoa,Wilaya,na baadhi ya Vituo vya Afya wana mashine ambazo ni Digital zinazotumia (Digital Radiograpgy Systems) kutengeza picha kwa kutumia mionzi kidogo.
Sijui za Private na huko kwingine.
Lakini hoja siyo mashine kutoa mionzi bali hata Mpiga picha (Teknologist) lazima awe amesoma na ana licence ya Taaluma yake,Baraza la Watalamu wa Kupiga picha,atambuliwe na Tume ya Taifa ya Kudhibiti matumizi Salama ya Mionzi (TAEC)!
 
Back
Top Bottom