Crypto utakuwa ni kiboko kizuri Cha Mabenki

Internet-Money

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
625
Reaction score
1,334
Leo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao wakanikata tena 5000.
Pili nilijaribu USSD yao *150*03# bila kuangalia Salio, nikakutwa pia wamekata zaidi ya mara 3.
Yani unakatwa bila ya kutumiwa SMS za Makato, kama ya kwao.

Crypto itakuwa mtetezi baada ya muda kidogo, mtalia na kusaga meno.

Ili anza AI sasa itakuja Crypto kumfilisi mtu
 
Crypto is not For everybody , though yajayo yanafurahisha.

Bado tupo bank 2.0 Huku third world country Kwa mbali tunainusa bank 3.0

Pia unapaswa kuelewa kuhusu Gatekeepig/gatekeepers the way between the old and the new systems
 
Kwenye ulimwengu wa teknolojia, kuna kitu kinaitwa adoption curve (utaratibu wa watu kuingia kwenye mfumo mpya). Kwa sasa, crypto bado ipo mikononi mwa watu wenye uthubutu mkubwa na uelewa wa kiteknolojia (early adopters), huku wengi wakiwa bado wanaiogopa kutokana na kubadilikabadilika kwa bei (volatility) na kashfa za hapa na pale.
 
mtazaaaa napachqqq. A crypto

ulizen wenzenu wa lscc hahaha

afroglobal

mwendo wa mimba
 
Kwenye mataifa yanayoendelea (Third World Countries), bado tunapambana na changamoto za msingi za Banking 2.0:

Mifumo ya kibenki ambayo bado inategemea matawi ya kimwili na makaratasi.

Gharama kubwa za miamala na urasimu uliopitiliza.

Sehemu kubwa ya jamii ambayo bado haina akaunti za benki kabisa (unbanked), ingawa huduma za pesa kwa mtandao wa simu zimesaidia sana kuziba hili pengo.
 
Bora muendekee kukatwa ili tupate faida kubwa kwenye magawio mwakani. NMB ndo bank yangu pendwa na hamna ujinga wa makato ya hovyo
 
Leo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao wakanikata tena 5000.
Pili nilijaribu USSD yao *150*03# bila kuangalia Salio, nikakutwa pia wamekata zaidi ya mara 3.
Yani unakatwa bila ya kutumiwa SMS za Makato, kama ya kwao.

Crypto itakuwa mtetezi baada ya muda kidogo, mtalia na kusaga meno.

Ili anza AI sasa itakuja Crypto kumfilisi mtu
Daaah, hii mbaya mimi 156000, bado sjui ilipo, hao ni matapeli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom