youtube

  1. H

    Alikiba: niliacha kufanya videos sababu ya watu kutuma robot youTube

    Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
  2. SI KWELI Wimbo wa Nay wa Mitego uitwao Nitasema, umefutwa youtube na yeye hajulikani alipo

    Nimekutana na post katika mtandao wa X ikisema Wimbo wa Nay wa Mitego alioutuoa hivi karibuni umefutwa na yeye hajulikani alipo, je kuna ukweli wowote?
  3. G

    TBT: YouTube walilazimika kuondoa dislikes ili kumlinda Rais baada ya Joe Biden kupata dislikes nyingi kila video anayoweka

    Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi. Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi waondoe sehemu inayoonyesha dislikes kwa video zote.
  4. Cristiano Ronaldo's YouTube Revolution: Redefining Athlete Stardom

    Cristiano Ronaldo's YouTube Revolution: Redefining Athlete Stardom In the ever-evolving landscape of sports and entertainment, Cristiano Ronaldo has once again proven himself a trailblazer. The football phenomenon who has conquered every pitch he's stepped on is now setting his sights on a new...
  5. Naomba msaada namna verification ya Channel YouTube

    Habari za wakati huu wakuu! Nimefungua channel youtube lakini iko limited kupost video zenye urefu zaidi ya dakika 15 kwa sababu bado sija verify. nimejaribu kuverify lakini kila muda ina niambia either hivi. au Naombeni kujua ni fomart gani ya namba youtube wana accept maana nimejaribu...
  6. G

    Nimeuchoka ubinafsi wa Waafrika huko youtube, hawaweki link za kudownload wanaweka namba ili wakuuzie vitu walivyopata bure

    Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa. Sio kwa ubaya ningeweza...
  7. Mjadala East Africa Radio: Diamond ni mkubwa YouTube kuliko Jay Z

    Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube. Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
  8. Kwanini YouTube Channel ya JamiiForums imedoda?

    [salam inakuaga hapa] Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo sana. Ni wazi JF imejitengenezea fan base kubwa sana kwenye baadhi ya social network mfano...
  9. Wabongo wanapiga pesa YOUTUBE

    Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin ! Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
  10. U

    Youtube na platform social media zingine zina nguvu kubwa kusambaza habari kwa kasi kuliko main stream & print medias

    Serikali chini ya Chama Cha Mapinduzi - CCM pamoja na kutunga sheria kali ya mitandao na kuweka udhibiti kwa sheria na kanuni ngumu kwa yeyote anayetaka kuanzisha TV au radio au gazeti, lakini kwa upande wa social media imefeli big time.. Social media kama Youtube, TikTok, Twitter X, instagram...
  11. INAUZWA Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526

    Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526 ipo kwenye malipo Ilikuwa inafanya kazi ya vipindi vya michezo Bei ni 600,000 Simu 0753-215812.
  12. Wimbo wa Sukari wa Zuchu umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube

    Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa. Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube. Na pia anaingia kwenye orodha ya...
  13. Reels za Facebook zinakula MB's kuliko hata video za YouTube

    Hivi hii imekaaje yaani video clip vya facebook ukiviangalia dakika kumi tu zinakausha data Balaa hata GB 1 fasta inakata. Wakati unaweza kuangalia YouTube muda mrefu tu.
  14. Tv online za bongo 92% hakuna ubunifu wala kutofautiana, zote zinafanana

    kuna msemo unaotumiwa na ccm ukiwafanya watu wawe maskini watasikia njaa na hiyo njaa itapunguza kufikiri na kuwaza. Yani hizi tv online za bongo hakuna ubunifu ili mradi tu wakusisitizia ulike na follow tv yao.wakati wengine ukiingia hayo mambo uwezi kukuta ila kilicho andaliwa kitakufanya...
  15. Video & photo journalist, editor, tx operator, youtube & instagram moderator, straeming live on television, youtube & instagram, content creator

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nishafanyaga baadhi ya sehemu kama vile Africa Swahili TV, Dizzim TV and Online, Bongo5. Naomba kama Kuna mtu atahitaji mtu wa kufanyakazi kama hizo kwenye Television au Online Media hata moja wapo tuwasiliane kwa 0714525809 nina uzoefu...
  16. taarifa za wikipedia tanzania zipo nyuma kuliko za channeli za afrika youtube

    ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa. kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa. ukiingia chaneli za...
  17. Y

    Naomba kujua namna ya kufanya akaunti ya youtube ilipwe

    Habari naomba kujua namna ya kufanya akaunti yangu ya YouTube ilipwe
  18. Mnaojua kuhusu hili naomba kujuzwa (YouTube)

    Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized??? Kama jibu ni YES, Je inawezekana hii?? Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???
  19. Maada naomba kujuzwa app ya kudownloard video youtube

    wana forums, naomba msaada wa kujuzwa app ambayo naweza kushusha video yaani ku (downloard) video youtube, asanteni.
  20. Wasanii wa vichekesho wakamatwa kwa kuweka maudhui youtube bila kusajiliwa na bodi ya filamu

    Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa. Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…