Mar 15, 2019
45
127
Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin !

Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako zingine kama kawaida.

Kwa wale ambao wanafanya kama ni kazi yao wanapiga pesa nyingi sana, mfano ni wachekeshaji kama TX Dullah, Ndaro, Leonard na wengine wengi ambao hao ukiwauliza kwa mwezi hawakosi Milioni 2 hadi 5 wapo wanaofika kama kina Joti. Wengine wanaopiga pesa ni wenye online TV za habari eidha michezo au udaku.

Wengi watauliza inawezaje kufanya kazi?

Iko hivi, YouTube kwenye zile video zote unazotazama basi ujue unawaingizia watu mtonyo, kwahiyo kadri unavyozidi kushinda YouTube kutazama video na kuenjoy ndivyo unavyozidi kuwapa pesa wenzio walio. Sasa hata wewe unao uwezo wa kuanzisha yakwako na ukapiga pesa nzuri tu siyo lazima uwe professional sana.

Unaweza ukafungua na ukapost shughuli zako za kila siku, mfano wewe ni fundi gereji za pikipiki, unaweza kuwa unafundisha watu jinsi ya kurekebisha pikipiki zao, au wewe ni mpishi unaweza ukawa unaposti mapishi watu wanajifunza, au wewe kama wewe ni dancer unaweza kuweka video zako za kudance watu wakatazma na kuenjoy.

Chochote kile unaweza kufanya na kikakuingizia pesa YOUTUBE ni wewe tu na bando lako, na hapa ieleweke siyo lazima uwe na kamera kubwa ya kurekodi au computer kubwa HAPANA. Unaweza kufanya kwa kutumia simu yako, ukarekodi na kupandisha hadi utakapokuwa na uwezo wa kununua vifaa.

VIGEZO VYA KULIPWA NA YOUTUBE

1. Kigezo cha kwanza uwe umefikisha Subscribers 1000 na kuendelea
2. Video zako ziwe zimefikisha masaa 4000 na kuendelea kwa ujumla, yaani wale wanaoangalia video zako wawe wametumia masaa 4000 kuangalia video zako.
3. Uwe na video shorts zenye views milioni 10 kwa ujumla lakini hii inaweza kuwa mbadala wa kigezo cha pili. Yaani kama umeshindwa kufikisha masaa 4000 basi uwe na shorts zenye views milioni 10.

Baada ya hapo utaruhusiwa kuomba kuunganishwa na YouTube Partnership Program tayari kuanza kupokea mpunga wako. Ukishakubaliwa utaunganisha na account yako ya benki ambapo kila mwisho wa mwezi wanakuwa wanakuingizia pesa zako kama mfanya kazi vile 😂😂

Kwa ambao wanahitaji elimu zaidi juu ya YOUTUBE na namna ya kuingiza pesa karibuni sana, nitawasaidia elimu na msaada wowote.

Na wale ambao watahitaji YOUTUBE CHANNEL ambayo iko tayari ni wewe tu kuweka video zako na kuanza kulipwa karibuni sana.

Napatikana WhatsApp Namba: 0683535699
 
Watu wanapiga pesa ila sio rahisi kama uanvyodhani. Suala la kupiga pesa huku ukifanya shughuli zako nyingine sahau. YT inahitaji uwekeze muda kutengeneza content zitakazovutia watu. It is hard to make money kwa kufanya YT kama part time job.
 
Inategemea na aina ya content unazoweka, mfano mwanamke ambaye anapenda kupika kila siku anaweza kurekodi video moja na kupost baada ya muda lazima itamletea matunda ....
 
Watu wanapiga pesa ila sio rahisi kama uanvyodhani. Suala la kupiga pesa huku ukifanya shughuli zako nyingine sahau. YT inahitaji uwekeze muda kutengeneza content zitakazovutia watu. It is hard to make money kwa kufanya YT kama part time job.
Kuna wimbi la vijana kujidanganya kabla hawajaingia ulingoni na kupambana na maisha. Hili lipo hadi kwenye forex na network marketing. Vijana usifuatishe concept za kwenye mitandao au kwenye muvi. Ingia mzigoni jaribu kila kitu . Njia itakayokupa majibu ndio unakomaa nayo. Inaniuma sana kuona vijana wanataka ukweli uendane na wanachokipenda. Wanasahau mara nyingi ukweli hauendani na unachokipenda au unachokitaka inabidi ukomae ili ujue nini kina majibu mazuri.
 
Mfano o subs uliwapata kwa kuposti michezo alafu mimi nije na content za nyimbo za kwaya..unadhani watabaki?

Kununua channel ni kosa siwezi mtu afanye!

Ksma mtu unataka kufanya content youtube anzia chini. Shortcut is long cut
 
Mapato ni 300000.
Unauza chanel 170000.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom