youtube

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nimeshindwa kutumia Youtube kutokana na 'restrictions'

    Balozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube akakumbana 'Restrictions' kama alivyoeleza, akiongea Mbashara kupitia Facebook.
  2. Scars

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Youtube upo down Tanzania?

    Maana nikiwasha VPN inakubali
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa YouTube Tanzania Tangu saa Tano haifanyi kazi

    Wengi wanahisi kwa sababu ya press ya pole pole ndo maana wameufuutilia mbali
  4. Alagwa

    JamiiForums Tanzania Vigezo Vipya vya YouTube na Athari Zake kwa Watu Wanaotumia A.I kwa Kutengeneza Content

    YouTube kila wakati inaboresha kanuni zake na vigezo vya kufuatilia ili kuhakikisha watumiaji wanapata content bora na salama. Hivi karibuni, YouTube imezindua vigezo vipya vinavyohusu matumizi ya Artificial Intelligence (A.I) katika kutengeneza video na content. Je, mabadiliko haya yanaathiri...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Youtube kuanza kuwalipa Content creators wanaoandaa maudhui kwa kutumia sauti zao halisi

    YouTube imetangaza mabadiliko mapya kwenye mpango wake wa kupata mapato (YouTube Partner Program) ambayo yataanza rasmi Julai 15, 2025. Lengo la mabadiliko haya ni kugundua kwa ufanisi zaidi maudhui yasiyo halisi — siyo kuzuia video za reaction au mchanganyiko wa vipande mbalimbali kama wengi...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ndo ipo number moja trending youtube

    Huyu jamaa anapendwa Sana na kufatiliwa mno.
  7. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA OPPO A83 HAISUPPORT WHATSAPP NA YOUTUBE

    HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe hawana tatizo na device zenye matoleo hayo. sasa kama kuna maujanja ya kufanya naomba kuelekezwa...
  8. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Youtube wampa tuzo ya Diamond, msanii Diamond Platnumz kwa kufikisha subscribers Milioni 10

    Msanii kutokea Tanzania Diamond Platnumz amepewa tuzo maalum na Youtube kwa kufikisha subscribers Milioni kwenye ukurasa wake wa Youtube Hongera zake na kaimprove kuongea kingereza
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania YouTube Kuacha Kazi Kwenye Vifaa vya Apple Vyenye iOS 15 na Chini

    Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena kutumia programu ya YouTube. Hii inamaanisha kuwa watumiaji wa vifaa hivyo vya zamani watahitajika...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kupakua Video Youtube ni Kinyume cha Sheria. Askari aliyefanya hivyo ashtakiwe kwa jina lake

    Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi. Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Youtube is banned, uingii bila vpn

    any way Siasa zenu we can't enjoy our silent life. you tube is down leo usiku, na sijui shida nini ila with vpn ipo fresh. siku njema
  12. mshale21

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

    Wapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
  13. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania yaondoa Maudhui ya mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu kwenye Mtandao wa YouTube

    Mahakama ya Tanzania imeondoa Maudhui ya Kesi ya Tundu Lissu kwenye Akaunti ya Mtandao wake wa YouTube. Hii ina maana gani? Ikumbukwe, zaidi ya watu 18,000 walifuatilia kesi hii 'Live' kwenye akaunti hiyo pekee ilipotajwa kwa mara ya mwisho Juni 2, 2025 huku makumi ya maelfu wakiendelea...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Le Capitaine Hashimu Rungwe akiwa ndani ya Helkopta. Youtube Channel ya Chaumma yafikisha subscribers 250,000,mapambano yanaendelea

    Ng'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma. Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe.
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatimaye CHAUMMA wabadilisha account ya YouTube ya CHADEMA kuwa CHAUMMA Media TV, Heche hakumsingizia Mrema

    Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha. Nilijua Heche alimsingizia Mrema ila kwa hili analolifanya asee Pia soma Madai ya Heche Pre GE2025 - John Heche...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

    Wakuu Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa. Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
  17. kiraza

    JamiiForums Tanzania Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

    Hello wakuu nauza youtube chanel imeshanilipa kipindi cha nyuma mil 1.7 ina monetization na subscribers zaid ya 11,000. Hivyo ukiinunua kuanza kuweka content na account yako ya bank na kuanza kulipwa mwezi unaofuata, bei yake ni laki 5 tu. Nicheki DM *************** Duh nimeona niongeze data...
  18. second9

    JamiiForums Tanzania Kwa utulivu na hali ya hewa hii basi playlist ya hizi 30 Slow Rhumba za Fally itawafaa

    ID Title 1 Cadenas 2 Une Minute 3 Sweet Life (La vie est belle) 4 Ndoki 5 Anissa 6 Mikitisa 7 Service 8 Maria PM 9 Jus d’Orange 10 Aime-moi 11 Amore 12 Science-Fiction 13 Se Yo 14 Centième Dossier 15 Par Terre 16 A Flyé 17 Humanisme 18 1000% Mawa 19 Associé...
  19. VANDYBLEAZE

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuniandikia story(content) nisimulie kwa sauti kwenye tiktok na youtube bila malipo kama beginner

    Heading inasomeka hapo juu, mimi kijana Mtanzania mwenzenu. Nimepitia baadhi ya threads humu nimeona baadhi ya watu wakiandika story mbali mbali au taarifa ambazo zinavutia. Nimekuwa content creator wa TIKTOK na YOUTUBE kama msimulizi wa historia na current issues ambazo zinabamba lakini naona...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa

    WITO WA KUSHIRIKI KESI YA MH. TUNDU LISSU, JAMII KUFUATILIA MJADALA WA BUNGE LA ULAYA, NA TAARIFA YA UDUKUZI WA AKAUNTI ZA CHAMA. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu Watanzania na jamii ya kimataifa juu ya matukio matatu makubwa yenye athari kwa demokrasia na haki...
Back
Top Bottom