sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,600
- 7,493
Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube.
Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na watangazaji wanaoijua kazi yako kindakindaki Modoo na Orgenes wakisema numbers don't lie.
Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na watangazaji wanaoijua kazi yako kindakindaki Modoo na Orgenes wakisema numbers don't lie.