youtube

  1. kiraza

    JamiiForums Tanzania Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

    Hello wakuu nauza youtube chanel imeshanilipa kipindi cha nyuma mil 1.7 ina monetization na subscribers zaid ya 11,000. Hivyo ukiinunua kuanza kuweka content na account yako ya bank na kuanza kulipwa mwezi unaofuata, bei yake ni laki 5 tu. Nicheki DM *************** Duh nimeona niongeze data...
  2. second9

    JamiiForums Tanzania Kwa utulivu na hali ya hewa hii basi playlist ya hizi 30 Slow Rhumba za Fally itawafaa

    ID Title 1 Cadenas 2 Une Minute 3 Sweet Life (La vie est belle) 4 Ndoki 5 Anissa 6 Mikitisa 7 Service 8 Maria PM 9 Jus d’Orange 10 Aime-moi 11 Amore 12 Science-Fiction 13 Se Yo 14 Centième Dossier 15 Par Terre 16 A Flyé 17 Humanisme 18 1000% Mawa 19 Associé...
  3. VANDYBLEAZE

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuniandikia story(content) nisimulie kwa sauti kwenye tiktok na youtube bila malipo kama beginner

    Heading inasomeka hapo juu, mimi kijana Mtanzania mwenzenu. Nimepitia baadhi ya threads humu nimeona baadhi ya watu wakiandika story mbali mbali au taarifa ambazo zinavutia. Nimekuwa content creator wa TIKTOK na YOUTUBE kama msimulizi wa historia na current issues ambazo zinabamba lakini naona...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa

    WITO WA KUSHIRIKI KESI YA MH. TUNDU LISSU, JAMII KUFUATILIA MJADALA WA BUNGE LA ULAYA, NA TAARIFA YA UDUKUZI WA AKAUNTI ZA CHAMA. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu Watanzania na jamii ya kimataifa juu ya matukio matatu makubwa yenye athari kwa demokrasia na haki...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pascal Cassian kaachia wimbo Youtube inaitwa mtakamata wangapi.

    Katema cheche kule yani ni kama kaamuwa kujilipuwa.
  6. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Application Nzuri ya Kudownload Videos YouTube

    Wakuu, Naomba mwenye kujua Application ambayo naweza kushushia video YouTube. Nilikua natumia Application kama Snaptube, Videoder na Vidmate. Ila sasa hivi naona zimekua restricted, hazidownload Msaada wakuu.
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa namna gani unaweza Ku download video za YouTube na kuzihifadhi kwenye Storage ya Simu yako?

    Wakuu ,nmedownload baadhi ya Apps nilizogugo zinazosemekana zinadwnld video YouTube ila Sijafanikiwa . Ni Application gan nayoweza kutumia?. Kwa kuanzia naomben hii video , Kwa sisi Wasanii tunaburudishwa na Mpangilio wa Sauti https://youtu.be/Ae8IA_84Naw?si=MIz142u-I-7GcaO3
  8. Trinity

    JamiiForums Tanzania Nawezaje ku download videos na audio YouTube?

    Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote ulimwenguni.! Naomba msaada wadau maana nimehangaika tangu zamani bila mafanikio. Miaka ya nyuma Kuna jamaa yangu aliniwekea app ilinisaidia sana, lakini Leo nikiiweka inagoma kabisa, inasema "not permission mara strickted dah nafeli sana kwa...
  9. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI 🧵 )

    It's Heritage Tech !
  10. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza YouTube ni moja ya njia bora za kutengeneza pesa mtandaoni, lakini wengi hawajui pa kuanzia. Kama unatafuta njia ya kuanza kutengeneza kipato kupitia YouTube, basi makala hii ni kwa ajili yako! 1. Chagua Niche Yenye Fursa Sio kila video...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji. Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maiki ya kutengenezea maudhui ya youtube

    Msaada tafadhali. Mwenye maiki nzuri (USB) ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie. Bajeti yangu ni 150,000 Asante na mbarikiwe sana.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Maiki ya kurekodia video Youtube

    Msaada tafadhali. Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa. Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie. SINA HELA ZAIDI YA 20,000 tu ndio maana nimeomba mwenye nayo anisaidie. Asante na mbarikiwe sana.
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Youtube Channeli inauzwa. Imekidhi vigezo muhimu

    Habari! Kuna Youtube Chaneli inauzwa. Inasubscribe 14700, ipo kwenye malipo na imetoa pesa mara 3 hadi sasa. Bei yake ni 3,300,000. Kama unahitaji basi Unaweza nicheki PM kwa mawasiliano zaidi! Asanteni!
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa YOUTUBE kumbe unaweza kujifunza udereva kupitia video tutorial

    Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani. Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi. Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
  16. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania SnapTube ni software nzuri Kwa watumiaji wa simu na waoenzi wakupakua videos za YouTube na mitandao mwingine ya kijamii.

    Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
  17. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupandisha video za youtube hapa Jf

    Habarini za wakati wakuu. Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia. Amani ya bwana iwe nanyi. mshamba_hachekwi Mshana Jr
  18. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shetani yupo kazini: Nyumba za ibada Imarisheni ulinzi/msirushe LIVE (YouTube) wakati wa kutoa sadaka

    1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe. NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
  19. masterpeace

    JamiiForums Tanzania Generation ya bongo movie mjini YouTube

    Wadau. ebu tuzungumzie hii generation ya bongo movie ambao wao wamejikita kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
  20. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Niset vipi YouTube isijizime nkitoka kwenye screen?

    Wakuu, Youtube ukitoka kwenye kurasa huwa inajizima au inastop kuplay! Kuna njia ya kuset isifanye ivo yaan uendelee na shughuli nyingine halafu youtube iendelee kuplay
Back
Top Bottom