Ukisikia mzazi anasema hii ng'ombe ilimaliza hela ada bureee basi ujue anaongelea watu type ya MkarukaNinaweka kama kumbukumbu tu !!
Kwa wale wasanii wengine wanaotegemea kuweka tu video zao YouTube na kutegemea kila kitu kiende basi ndio hivyo wenzenu wanalipia !!!
Kuna mtu kasema kuna uhalifu umefanyika ?Kwahiyo cha ajabu ni nini haswa? Kwamba wamefanya uhalifu gani na nani alikatazwa kufanya hivyo wafanyavyo wao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mimi hizo ads uwa sina time nazo naziskip tuNi wengi tu wanaboost lakini hawapati views, hadi view ihasabike inabidi nivutiwe na kile kilichotangazwa niminye ili niicheki video YouTube, bila hivyo hakuna views itahesabika hapo.mfano hapo mtu akiminya "skip ads" hakuna view hapo ila Huyu chiriku anataka ionekane kwamba hapo tayari view imehesabika
.
Kama mnadhani rahisi igeni muone
nawewe unaandika point,ila inapofikia unaanza wamawazo ya kiswahili kwamba kuna mtu ananunua views ndipo unapoonekana ndezi tu kama wengine.Mimi nimetoa facts wewe unabwabwaja, nyie ndio aina ya wale wajinga mnaosingizia eti views zinarogwa
Yani lengo la uzi huu ni kupotosha watu kwamba diamond anacheza mchezo mchafu wa kununua views kitu ambacho si kweli, aliejaribu huu upuuzi labda ni msanii ambae alijiona mjanja kuliko YouTube akanunua views za China video unapiga views milioni ila zikashuka hadi laki saba baada ya kitu cha mchujo
Badilisha hio "kuboost" iwe "kupromote" soko lolote ili ufanikiwe inabidi uzingatie mno p 4 muhimu (wasomi wenzangu tuliosoma biashara wananielew)
1.Product- hii ni bidhaa, bidhaa inabidi iwe na nakshi, ivutie, ilinndwe, landing, labelling, copyrights,n.k hapa nazungumzia mziki, shooting zenye kiwango, collabo na kina Innis b, n.k
2.place- hii ni location ya kulenga bidhaa yako, huwezi kuuza uji bar, huwezi kuuza hiphop kanisani, Diamond kaweza hapa, naona kwenye mapenzi ndo penyewe na analemga mle mle.
3.price- bidhaa inabidi iwe na bei katika strategy maalum, diamond kumkodisba nadhani sitakaa kuongea mengi maana alishasema show zake uandae kiasi Fulani, hiki kitu ni muhimu,
4.Promotion - hapa ndo wengi wanapasahaugi, biashara ya mziki ni kama biashara nyingine na unaweza ukafilisika ukashindwa kulipia hata maproducer, Leo hii diamond kajipromote kwenye mipaka hadi ya Congo, ulaya, marekani n.k kwa mbinu kama collabo na muhimu kuliko vyote kupitia social networks pamoja na kupromote video zake watu wa huko nje wazi cheki, sasa hii sio bure inahitaji pesa kibao kupromote video zako nje ya nchi ila jamaa alijipinda na Leo hii hata yope ina hit kuliko ile original kwasababu ya promotion.
Uje na facts kama huna vua chupi kaa pembeni
Yeye kaandika anachojua, wewe umeandika mipasho nani ndezi hapo?nawewe unaandika point,ila inapofikia unaanza wamawazo ya kiswahili kwamba kuna mtu ananunua views ndipo unapoonekana ndezi tu kama wengine.
mtetee mond kisomi usiwe kama mjinga fulani tu anayeongozwa na mahaba.
hili swala la views kupanda na kushuka liko juu ya elimu na ufahamu wa wengi ukiwamo wewe,ndio maana unaandika upupu hapa.hata mond mwenyewe hafurahishwi na mashabiki design yako maana anajua mnamjazia inzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa tosha kabisa hili, na wasanii wengine wanapaswa kujua ngoma inachezwa vipi ili waweze kutoboa kwenye platforms mbali mbali, Mwenzao Harmo kwa kiasi kikubwa amejifunza na anafanyia kazi kwa juhudi kile alichojifunza usafini.Cha ajabu wasanii baadhi wamebaki wanang'aa ng'aa sharubu eti diamond ananunua views eti kwajili an a promote video zake Facebook na Instagram, yani hawajui bado utofauti wa kununua views njia ambayo sio halali na kupromote video ili ipate views njia ambayo ni halali.
Leo hii yope INA views milioni 70 huko kwasababu diamond anajua kujibrand kama msanii wa kimataifa, yani hope remix imeifunika hata original kwasababu diamond kagusia, na ni mkali wa marketing.
YouTube siyo wajinga ukifanya michezo isiyo halali eventually watafuta hizo views na saa nyinge uwa wanaweza funga hiyo account kwa muda. Wauzaji wa views mara nyingi wanatumia Bots na youTube algorithm inaweza kuzitambua.Ninaweka kama kumbukumbu tu !!
Kwa wale wasanii wengine wanaotegemea kuweka tu video zao YouTube na kutegemea kila kitu kiende basi ndio hivyo wenzenu wanalipia !!!